Nautunza huu uzi!Japo Mimi ni Mshabiki wa Yanga..!
Sijawahi ku bet Toka Dunia inaumbwa, nataka ku bet coz nimemuona Simba iknanyua ndoo ya Africa.
Wataalam waku bet, naombeni maelekezo Kampuni gani ya ku bet naweza kubet kuhusu nani atakua BINGWA wa CAF this season.
NB:
Mimi sio Mtu wa kibet pia sitaendelea ku bet, nataka kubet mara hii tu Moja.
Mkuu nimeona kwenye Ulimwengu wa Roho Simba anachukua Ubingwa wa CAF, ila Mimi ni Mshabiki ya Yanga, nimepata shida kidogo Moyoni.Nautunza huu uzi!
Dirisha Dogo, tukipata striker mzuri .Japo Mimi ni Mshabiki wa Yanga..!
Sijawahi ku bet Toka Dunia inaumbwa, nataka ku bet coz nimemuona Simba iknanyua ndoo ya Africa.
Wataalam waku bet, naombeni maelekezo Kampuni gani ya ku bet naweza kubet kuhusu nani atakua BINGWA wa CAF this season.
NB:
Mimi sio Mtu wa kubet pia sitaendelea ku bet, nataka kubet mara hii tu Moja.
Baadaye tusisikie tena milio na kelele za kumkataa Mangungu.So..... you will believe.
Hahahaha,hata Yanga nao ni wale wale tu, ila hongera kuwa mwananchiMkuu Mimi ni shabiki mwenzio wa Yanga.
Hahahaha,huo ulimwengu wa roho,ndio unawapotezaga watanzania ktk mambo mengiMkuu nimeona kwenye Ulimwengu wa Roho Simba anachukua Ubingwa wa CAF, ila Mimi ni Mshabiki ya Yanga, nimepata shida kidogo Moyoni.
Ningeweza kumfikia Hersi, ningemwambia kama Club iendelee kutoà Sadaka Kwa Wahitaji, Yatima, Wajane na Watoto wa Mitaani, waende Makanisani kuombewa, waende Kwa Masheikh kusoma Dua, then amwambie Kocha na Benchi la Ufundi kuwa this time waongeze juhudi, awaambie Wachezaji hii ni nafasi Yao kubadirisha matokeo.
Kwa kufanya hivyo tutapindua Matokeo, coz Simba wenyewe taarifa hawana kwamba mpaka napoandika hapa kwenye Ulimwengu wa Roho wao ni Mabingwa.
Life is Spiritual, Kila kinachotokea Duniani hapa kilianzia kwenye Ulimwengu wa Roho, wewe uliumwa kwanza kwenye Ulimwengu wa Roho then ndiyo Mungu akafinyanga structure ya mtu alipopuliza, Ile Spirit aliyoiumba rohoni, ikavaa Mwili na ukawa nafasi hai.Hahahaha,huo ulimwengu wa roho,ndio unawapotezaga watanzania ktk mambo mengi
Mwamba safari hii hatuna chetu. Msimu umetukataa mapema sana. Zamu ya mnyama kuunguruma.Tupo paleeee....