Tetesi: Simba kuwatema Victor Akpan na Nelson Okwa

Tetesi: Simba kuwatema Victor Akpan na Nelson Okwa

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya dirisha la usajili kufungwa, klabu ya Simba ipo mbioni kuwatema wachezaji hao ili kupisha nafasi ya kusajili wachezaji wapya.

Ikumbukwe nafasi za wachezaji wa kigeni tayari zimeshajaa hivyo klabu inalazimika kuwavunjia mikataba wachezaji hao ili ipatikane nafasi ya kusajili wachezaji wapya.

N.b Dirisha la usajili linafungwa tar 15/Jan
 
Ela ipo mkuu, huoni Kambi tu ya Dubai imetumia karibu bil 1 na nusu
Halafu timu ikirudi inapokelewa na Coaster! Kisa mdhamini anaidai klabu milioni 200, na hivyo kuamua kulitaifisha basi kubwa!!
 
Pale Simba na Yanga zinapochekana wakati zote kuna mahali zimesajili magarasa
Mkuu kuna timu mojawapo imesajili magara timu mzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we hulioni hilo?
 
Mkuu kuna timu mojawapo imesajili magara timu mzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we hulioni hilo?
Wanapelekwa pre season mara 2 ndani ya msimu mmoja, ili tu kuwaweka sawa! Kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom