Tetesi: Simba kuwatema Victor Akpan na Nelson Okwa

Tetesi: Simba kuwatema Victor Akpan na Nelson Okwa

Kibu anazidi kushine tu mpaka amekuwa mchezaji bora mazoezini
 

Attachments

  • Kibu.jpg
    Kibu.jpg
    49.3 KB · Views: 1
Kuna timu ilisajili mchezaji kisha ikamfingia ndani kama msukule . Kacheza mechi Moja tu nayo dk 10 mapinduzi cup , leo wanamcheka simba . Hii nchi ni ngumu sana .

Wamesahu hakina kipa Kindoki , Yikpe , surpong , kambole Bigaeli nk leo wanawacheka simba.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Yule Beki Maduhwa, Mkongo na Chikwende mwaka jana walicheza mechi ngapi
 
Sajili nyingi za Simba ni bahati nasibu
Sijui nini kimemkuta mtani kwa kipindi cha miaka 2 sasa sajiri zao za kubahatisha unakuta dirisha moja anasajiri wachezaji 8 alafu anaperform vzr mmoja au wawili tu
 
Back
Top Bottom