Tetesi: Simba kuwatema Victor Akpan na Nelson Okwa

Sajili nyingi za Simba ni bahati nasibu
Kuna timu ilisajili mchezaji kisha ikamfingia ndani kama msukule . Kacheza mechi Moja tu nayo dk 10 mapinduzi cup , leo wanamcheka simba . Hii nchi ni ngumu sana .

Wamesahu hakina kipa Kindoki , Yikpe , surpong , kambole Bigaeli nk leo wanawacheka simba.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Wakati mnawacheka Yanga kwa Kambole na Bigirmana, kumbe nyie mna yenu Okwa na Akpan huku mjipia uwanaasheria swala la Fei.(Kuna mwenzenu kafungua mpaka uzi humu JF)

Halafu huko Dubai kumenoga Kocha kamkubali brother Kibudenga,nyie msimu huu muwe wavumilivu hii badilisha Kocha ya kila mara lazima iwacost.
 
Bila kumsahau mzee wa virasta
 
Nikikumbuka okwa nacheka sana.

Hawa Simba ni mbu3 sana, mara okwa anapiga pasi amefumba macho sasa Kiko wapi??
Nikikumbuka usajili wa Chezaji la EPL Bigirimana na Kambole mmoja akitambulishwa mbele ya Mkutano Mkuu,mwingine akitambulishwa usiku wa manane nabakia kuduwaa leo hii wanavyotaka kuwatimua.
 
Mkuu kuna timu mojawapo imesajili magara timu mzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we hulioni hilo?
Timu gani mm siijui itaje na hayo magarasa yataje...
 
Timu gani mm siijui itaje na hayo magarasa yataje...
Unachekesha wewe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].. Hebu nenda google i search utaipata, ila fununu tu iyo timu ipo palee mitaa ya kariakoo
 
Simba ilipuyanga sana usajili uliopita wa dirisha kubwa na haya ndio matokeo yake
 
Nikikumbuka usajili wa Chezaji la EPL Bigirimana na Kambole mmoja akitambulishwa mbele ya Mkutano Mkuu,mwingine akitambulishwa usiku wa manane nabakia kuduwaa leo hii wanavyotaka kuwatimua.
Nadhani umesahau mlete mzungu yeye tayari kashajitimua mwenyewe [emoji1][emoji1][emoji1]

Ukiondoa bigirimana na kambole tena yeye hata hajasajiliwa miongoni mwa wachezaji ambao wangetumika kwenye ligi, Kuna garasa gani lingine Yanga?
Njoo kwenu sasa [emoji134][emoji134][emoji134]
Kyombo[emoji1787][emoji1787], akpan[emoji1787][emoji1787],okwa[emoji1787][emoji1787] ouatara[emoji1787][emoji1787] okra[emoji1787][emoji1787]mlete mzungu[emoji1787] niendelee kukutajia??
 
Makambo na Kisinda unaona kuna mchezaji hapo?
 
Na hata kwa majirani Kambole na Bigirimana mtihani ni huo huo
Hapo umtaje Bigirimana tu. Maana huyo Kambole yupo kwenye majaribio, na uwezekano wa kupewa mkataba pia ni mdogo.
 
Unachekesha wewe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].. Hebu nenda google i search utaipata, ila fununu tu iyo timu ipo palee mitaa ya kariakoo
Unasumbuka sana na Simba aisee...
 
Kisinda mbona hujamtaja kama kuongozi wa magalasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…