Mkirudi kwenu mkumbuke kunywa maziwa freshi!
Duh.. Sijuwi jirani yangu ataenda wapi kulisha mbuzi zake?! Ila nitampa moyo, jiwe halina mshiko, ni kama walivyofanya ukatili wa wanyama kwa kumzika N'gombe pale!Uongozi wa klabu ya Simba umepanga siku ya Jumatatu, August 05 2019 utaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa uwanja wake unaendelea Bunju, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mtendaji wa Simba Crescentius Magori Wanamsimbazi na wadau wote wa soka kuhudhuria tukio hilo
"Siku ya jumatatu tutakwenda kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa uwanja wetu unaoendelea kule Bunju wote mnakaribishwa hii ndio maana halisi ya Iga Ufe This is Next Level of Simba Week," amesema
Uongozi wa Simba umesema mpaka kufikia mwezi Oktoba uwanja huo utakuwa tayari kuanza kutumika
Mkuu kwa tatzo gani sasa tunywe maziwa wakati tumekuja kuweka jiweMkirudi kwenu mkumbuke kunywa maziwa freshi!
Vumbi!Mkuu kwa tatzo gani sasa tunywe maziwa wakati tumekuja kuweka jiwe
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kawaida si unajua ujenzi unaendelea na upo kwenye kasi ya ajabuVumbi!
eeh walizika ng'ombe[emoji44]Duh.. Sijuwi jirani yangu ataenda wapi kulisha mbuzi zake?! Ila nitampa moyo, jiwe halina mshiko, ni kama walivyofanya ukatili wa wanyama kwa kumzika N'gombe pale!
Jiwe litawekwa, click click za Camera na Video shootings na nini kwa kina Manara na Dewji & co. Baadaye giiii...