Simba kuweka Jiwe la Msingi Uwanja wa Bunju

Simba kuweka Jiwe la Msingi Uwanja wa Bunju

update zinakuja naelekea maeneo ya uwanjani
 
Nipo hapa muda huu anaongea waziri mwenye dhamana ya michezo
 
20190805_115737.jpeg
 
Uongozi wa klabu ya Simba umepanga siku ya Jumatatu, August 05 2019 utaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa uwanja wake unaendelea Bunju, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mtendaji wa Simba Crescentius Magori Wanamsimbazi na wadau wote wa soka kuhudhuria tukio hilo

"Siku ya jumatatu tutakwenda kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa uwanja wetu unaoendelea kule Bunju wote mnakaribishwa hii ndio maana halisi ya Iga Ufe This is Next Level of Simba Week," amesema

Uongozi wa Simba umesema mpaka kufikia mwezi Oktoba uwanja huo utakuwa tayari kuanza kutumika
Duh.. Sijuwi jirani yangu ataenda wapi kulisha mbuzi zake?! Ila nitampa moyo, jiwe halina mshiko, ni kama walivyofanya ukatili wa wanyama kwa kumzika N'gombe pale!
Jiwe litawekwa, click click za Camera na Video shootings na nini kwa kina Manara na Dewji & co. Baadaye giiii...
 
Mwakiembe amesalimu amri...
TAIFA KUBWA SIMBA
 
Duh.. Sijuwi jirani yangu ataenda wapi kulisha mbuzi zake?! Ila nitampa moyo, jiwe halina mshiko, ni kama walivyofanya ukatili wa wanyama kwa kumzika N'gombe pale!
Jiwe litawekwa, click click za Camera na Video shootings na nini kwa kina Manara na Dewji & co. Baadaye giiii...
eeh walizika ng'ombe[emoji44]
 
Back
Top Bottom