Unaweza kutuwekea thamani ya kikosi cha Mamelod dhidi ya Simba?Hawan hela mamelodi mkuu kama yanga tu. Nenda kwenye club za ulaya kama arsenal, man u, liver, real mdrid uliza zipo wapi pre season
Hapa ndio unaapoona tofauti ya ukubwa wa club. Simba inaenda SA wakati yanga wanaenda moro nauli shilingi elfu 7 tu.
Weka wewe. Thamani ya kikosi cha mamelod sijuiUnaweza kutuwekea thamani ya kikosi cha Mamelod dhidi ya Simba?
moja ya comments za kushangaza ndani ya JF,Mamelodi Sundown FC(BRAZILIANS)hawana fedha?wewe unaonekana ni sports delinquent.Google na uangalie mapato ya Sundown FC na mmliki wake na ulinganishe na timu ya chama dola (Yanga),soma to understand .Hawan hela mamelodi mkuu kama yanga tu. Nenda kwenye club za ulaya kama arsenal, man u, liver, real mdrid uliza zipo wapi pre season
Ukizungumzia mambo ya wakati ule na sisi tuzungumzie hamsa mliyopigwa na MnyamaWakati ule Yanga ikienda Turkey, Mikia walikuwa wanaenda wapi?
Huko tumewapeleka simba queen...wapo germany....but yanga wapo bigwa morogoroNa siku hizi South ndiyo USA au Portugal. Hizi siyo dalili njema hakika.
Kijiji kinaitwa bigwa morogoroNgere ngere Mkuu.
Walikuwa wanaenda bigwa morogoro kuiba matikitiWakati ule Yanga ikienda Turkey, Mikia walikuwa wanaenda wapi?
Walikuwa wanaenda bigwa morogoro kuiba matikiti
Hiyo kambi yake ya pre season ndo imempelekea aifunge simba lakini aishie kucheza match za play off kukwepa kushuka daraja...simba waliofungwa na huyo kagera ndo mabingwa wa tanzania na wamefika robo fainali ligi ya mabingwa africaNawaza tu, hivi Kagera sugar anapokufunga kila Mara kambi yake ya pre season uwaga ni wapi vile???
Wabongo bwana hatuwezagi kujibu maswali sijui kwa nini? Jibu swali maelezo yote hayo ya nini?Hiyo kambi yake ya pre season ndo imempelekea aifunge simba lakini aishie kucheza match za play off kukwepa kushuka daraja...simba waliofungwa na huyo kagera ndo mabingwa wa tanzania na wamefika robo fainali ligi ya mabingwa africa
Sasa nani alikwambia simba wanaweka kambi nje ya nchi ili wamfunge kagera....sisi tunaweka kambi nje ili tuchukue ubingwa na kufika mbali michuano ya kimataifa....na malengo yalitimia....nyie mliomfunga kagera ndo mmechukua ubingwa si eti???na sisi tuliofungwa na kagera tumekosa ubingwa sawaaaa???Wabongo bwana hatuwezagi kujibu maswali sijui kwa nini? Jibu swali maelezo yote hayo ya nini?
Sasa nani alikwambia simba wanaweka kambi nje ya nchi ili wamfunge kagera....sisi tunaweka kambi nje ili tuchukue ubingwa na kufika mbali michuano ya kimataifa....na malengo yalitimia....nyie mliomfunga kagera ndo mmechukua ubingwa si eti???na sisi tuliofungwa na kagera tumekosa ubingwa sawaaaa???
TayariBado