Simba kuweka kambi South Africa Yanga Morogoro

Simba kuweka kambi South Africa Yanga Morogoro

YANGA wamepiga Kambi hapa SUA Leo wanavuna viaz vitamu. Asante zahera kwa uzaelendo kwa nchi yetu kuelekea uchumi wa kati....YANGA wameiva Sasa kwenye tasnia ya kilimo maana soka limewashinda😂😂😂😂
YANGA a.k.a kwasukwasu FC
Vipi kule south nasikia siku hizi ni mwendo wa wiki sio hamsa tena hahahahahahahahaha
 
Hiyo nauli ni bora wangeanzia tu kusafisha pori LA uwanja wao huko kigamboni
Wamepoteza pesa bure wangeenda mbeya bado ingefaa tu
 
Maeneo wanayofanyia mazoezi yanafanana tu sasa sijui walio sauz wanafaidika na nini. Viwanja vya Moro na kule wanapofanyia tizi mbumbumbu, Tundu, Mtumbwi,Mikia FC vinaonekana hamna tofauti
 
Maeneo wanayofanyia mazoezi yanafanana tu sasa sijui walio sauz wanafaidika na nini. Viwanja vya Moro na kule wanapofanyia tizi mbumbumbu, Tundu, Mtumbwi,Mikia FC vinaonekana hamna tofauti
Hii ni Moja ya faraja tuliyo nayo kwa Sasa ss Vyura FC . Mlevi mmoja alisikika akisema....
 
Back
Top Bottom