Jahman85
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 217
- 112
Vipi kule south nasikia siku hizi ni mwendo wa wiki sio hamsa tena hahahahahahahahahaYANGA wamepiga Kambi hapa SUA Leo wanavuna viaz vitamu. Asante zahera kwa uzaelendo kwa nchi yetu kuelekea uchumi wa kati....YANGA wameiva Sasa kwenye tasnia ya kilimo maana soka limewashinda😂😂😂😂
YANGA a.k.a kwasukwasu FC