Mbinu zao zimechelewa na za kizamani kikosi Cha Simba lipo imara kukabiliana na team yoyote Africa muda wowote..Leo nimepita mitandaoni na kukuta kuna taarifa inasambazwa kuwa mchezaji mahiri wa as vita alieisumbua ngome ya simba Djuma hatakuwepo kutokana na kupata majeraha yatakayomweka nje kwa miezi 6. Ndugu wana simba wenzangu hii ni mbinu ya as vita, huyo mchezaji atakuwepo na atacheza mchezo huo, simba inabidi wawaandae wachezaji wao mbinu za kumzuia asilete madhara langoni mwao kama ilivyokuwa mechi ya awali kule Congo DR
Mbinu zao zimechelewa na za kizamani kikosi Cha Simba lipo imara kukabiliana na team yoyote Africa muda wowote..
Ni kweli ila tahadhari ni muhimu sana, as vita ni wazoefu wa michuano hii kuliko simba.
Djuma Shabani amepata injury na hatakuwepo, wakala wake amethibitisha hatakuwepo kwa muda mrefu, hayupo katika msafara wa Vita kuja Tanzania na hajaombewa viza ubalozi wa Tanzania nchini Congo kuja TZ, haji.Leo nimepita mitandaoni na kukuta kuna taarifa inasambazwa kuwa mchezaji mahiri wa as vita alieisumbua ngome ya simba Djuma hatakuwepo kutokana na kupata majeraha yatakayomweka nje kwa miezi 6. Ndugu wana simba wenzangu hii ni mbinu ya as vita, huyo mchezaji atakuwepo na atacheza mchezo huo, simba inabidi wawaandae wachezaji wao mbinu za kumzuia asilete madhara langoni mwao kama ilivyokuwa mechi ya awali kule Congo DR
Djuma shaban amewasili leo na timu ya as vita na TBC wamethibitisha, hivyo simba tuwe makini na mpango wa as vitaDjuma Shabani amepata injury na hatakuwepo, wakala wake amethibitisha hatakuwepo kwa muda mrefu, hayupo katika msafara wa Vita kuja Tanzania na hajaombewa viza ubalozi wa Tanzania nchini Congo kuja TZ, haji.
Huyo wakala ni muhuni, Djuma amemaliza mechi na Gambia dakika 90, hizo injury amezipata lini? Aliyeumia ni Luzolo Sita, beki wa kushoto wa DRC na VitaDjuma Shabani amepata injury na hatakuwepo, wakala wake amethibitisha hatakuwepo kwa muda mrefu, hayupo katika msafara wa Vita kuja Tanzania na hajaombewa viza ubalozi wa Tanzania nchini Congo kuja TZ, haji.
Mechi ya kwanza tulicheza kwao tukawafunga na huyo jamaa alicheza,2leg tuko kwetu tutashindwaje kumfunga,Vita ni wa zuri kuliko waarabu?Hata akiwepo kichapo Kiko palepale!
Hata aje Bayern au Barcelona sembuse hao AS Vita. Watoto wadogo sana Simba ikiwa kwa Mkapa.Leo nimepita mitandaoni na kukuta kuna taarifa inasambazwa kuwa mchezaji mahiri wa as vita alieisumbua ngome ya simba Djuma hatakuwepo kutokana na kupata majeraha yatakayomweka nje kwa miezi 6.
Ndugu wana simba wenzangu hii ni mbinu ya as vita, huyo mchezaji atakuwepo na atacheza mchezo huo, simba inabidi wawaandae wachezaji wao mbinu za kumzuia asilete madhara langoni mwao kama ilivyokuwa mechi ya awali kule Congo DR
Mleta uzi ni utelembwe wa kutupwa. Kaja na ID nyingine as usualUtopolo ovyooo