Leo nimepita mitandaoni na kukuta kuna taarifa inasambazwa kuwa mchezaji mahiri wa as vita alieisumbua ngome ya simba Djuma hatakuwepo kutokana na kupata majeraha yatakayomweka nje kwa miezi 6.
Ndugu wana simba wenzangu hii ni mbinu ya as vita, huyo mchezaji atakuwepo na atacheza mchezo huo, simba inabidi wawaandae wachezaji wao mbinu za kumzuia asilete madhara langoni mwao kama ilivyokuwa mechi ya awali kule Congo DR