Bado hujaamini tu kuwa Djuma Shabani kuwa hayupo mechi hii, alipata injury mazoezini akiwa na timu yake ya Vita, na hii ni baada ya mechi ya DRC na Gambia.Huyo wakala ni muhuni, Djuma amemaliza mechi na Gambia dakika 90, hizo injury amezipata lini? Aliyeumia ni Luzolo Sita, beki wa kushoto wa DRC na Vita
Huyo mlinzi yupo na yupo hapa nchini pamoja na wachezaji wenzake! Hiyo ilikuwa ni janja ya nyani tu!!Djuma Shabani amepata injury na hatakuwepo, wakala wake amethibitisha hatakuwepo kwa muda mrefu, hayupo katika msafara wa Vita kuja Tanzania na hajaombewa viza ubalozi wa Tanzania nchini Congo kuja TZ, haji.