Simba kuweni makini na drones wakati wa mazoezi yenu Casablanca

Labda wazipopoea mawe
 
Chief unamansha usiku wa bunju ufanane na usiku wa Muhammad V
 
Nendeni hata France, mkaweke kambi kule.

Jamaa wao wanawasubiria hiyo tareh 29
 
Chief unamansha usiku wa bunju ufanane na usiku wa Muhammad V
Simaanishi kwa gemu hii maana walishaondoka ila wafunge taa huko Bunju hata za mchongo au wafanyie mazoezi yao ya usiku Gymkhana kama kuna kaubaridi wanapokuwa wanajiandaa kucheza kwenye hali hizo. Raja na Wydad walipokuja Dar wote walifanya mazoezi usiku.
 
Hoja yako imepitishwa na kamati kuu. Hakuna anayeitamani hii mechi kama mzee wetu Robertinho.
 
Kwa hiyo mkitolewa, sababu kuu itakuwa ni hizo drones, au itabakia kuwa ile ile ya miaka nenda; ya wachezaji, benchi la ufundi, na mwekezaji wenu?
 
Kwa hiyo mkitolewa, sababu kuu itakuwa ni hizo drones, au itabakia kuwa ile ile ya miaka nenda; ya wachezaji, benchi la ufundi, na mwekezaji wenu?
Kufungwa ni sehemu ya mchezo ila Simba haijawahi kucheza kinyonge hata awe anacheza na nani.
 
Kufungwa ni sehemu ya mchezo ila Simba haijawahi kucheza kinyonge hata awe anacheza na nani.
Kesho usiku nitaitathmini hii kauli yako, ili kuona kama ina ukweli! Au umeandika tu kishabiki.
 
On paper Wydad are a better side compared with the underdogs Simba although nothing can be taken for granted in the game of soccer because always victory hangs in balance before the actual kick off.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…