"Kuniripa" ni ngumu labda unilipe.@Santino
Ikiwa hivyo ntakuripa laki moja
Yetu macho Mtani.
umeongea ukweli mtupu, upepo umekata na Matola anachukua mikoba ya uchebe fullstopHuwezi kuendesha timu kwa hasara, kuna mengi yatajitokeza na tutegemee baadhi ya wachezaji wenye mishahara mikubwa kutolewa kama kocha alivyotolewa bila sababu. Timu inaendeshwa kwa hasara tajiri kashituka. Ukifikiria sana utapata majibu kuwa kwann kocha katimuliwa huku anaongoza ligi.
Yetu macho Mtani.
Denis anaenda wapi?
Denis anaenda wapi?
Na isipo kuwa hivyo huo ukweli utakuwa ni ukweli ...?umeongea ukweli mtupu, upepo umekata na Matola anachukua mikoba ya uchebe fullstop
Acha uongo. Matola anakuja kuwa kocha wa vijana pale Simba.
Subiri uone mkuu;;Acha uongo. Matola anakuja kuwa kocha wa vijana pale Simba.
Kauli iliyotoka kwenye uongozi ilidai ni kocha wa vijana wakifanya mabadiliko itakuwa huko mbeleni ila kwa sasa wamemchukua kama kocha wa vijana.Subiri uone mkuu;;
Tutarudi hapa tena siku si nyingi