Simba kuweni serious Matola hana uwezo wa kutufikisha mbali kimataifa

Simba kuweni serious Matola hana uwezo wa kutufikisha mbali kimataifa

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,645
Nimeona tetesi za kocha Suleiman matola kuwa ndio anakuja kuwa mrithi wa Aussems,kiuhalisia kwangu sioni kama ni mtu sahihi kabisa,

Mimi sio hater wa matola bali ni mshabiki wake namba moja lakini katika suala la kuwa kocha mkuu Simba kwangu siafiki kabisa.Nina shaka na uwezo wake hasa kimataifa viongozi tafuteni kocha mwenye CV kubwa kimataifa,swala sio kuwa na wazawa ambao bado hawana viwango, Matola anafaa zaidi kuwa msaidizi ila sio kupewa ukocha mkuu hasa kwa Simba.
 
Huwezi kuendesha timu kwa hasara, kuna mengi yatajitokeza na tutegemee baadhi ya wachezaji wenye mishahara mikubwa kutolewa kama kocha alivyotolewa bila sababu. Timu inaendeshwa kwa hasara tajiri kashituka. Ukifikiria sana utapata majibu kuwa kwann kocha katimuliwa huku anaongoza ligi.
 
Hizo tetesi tu mkuu, Hata hapa tunaweza tukasema wewe unaenda kua kocha mkuu wa Simba.
Simba taasisi imara haiwezi ikamuweka matola kua kocha mkuu ambaye hana hata vigezo
 
Huwezi kuendesha timu kwa hasara, kuna mengi yatajitokeza na tutegemee baadhi ya wachezaji wenye mishahara mikubwa kutolewa kama kocha alivyotolewa bila sababu. Timu inaendeshwa kwa hasara tajiri kashituka. Ukifikiria sana utapata majibu kuwa kwann kocha katimuliwa huku anaongoza ligi.
umeongea ukweli mtupu, upepo umekata na Matola anachukua mikoba ya uchebe fullstop
 
Back
Top Bottom