Simba watakuja kujuta na hivi sasa nimeanza kuelewa kwa nini makocha wa kigeni hawapendi makocha wasaidizi wa TZ kwa sababu za majungu na kujifanya kuwa wanajua ilhali wote tunafahamu kuwa hawatufikishi mbali.Anakuwa kocha msaidizi sio kocha mkuu
Eti na kocha aliyetimuliwa na spurs kaomba kibarua cha Aussems. Hiyo ni kwa mujibu wa Mabara bingwa wa kujimwambafyKuna mwaka waliwahi kumchukua kocha aliewahi kuwa wa timu ya Taifa S.africa alikuja akakaa miezi haizidi mi3 akatimua aliwaambia timu ni unprofessional. Anaitwa Trott Moloto.
Wachezaji wanaheshimu wazungu tu, what a bunch of losersMatola alivyo mswahili, sidhani kama wachezaji watamheshimu
Hawezi kuwa kocha mkuu cuz hana leaeni ya kumuwezesha awe kocha mkuu yaani hana vigezo LABDA akasome kwanza muwe mnafuatilia hata Moiraumeongea ukweli mtupu, upepo umekata na Matola anachukua mikoba ya uchebe fullstop
Hana leseni ya kuwa kocha mkuu so hawezi kuwa kocha mkuu mpk akasomeAnakuja kuwa kocha mkuu, kwa mechi za kupambana na Yanga. Si mnajua tena ujinga wetu…! Eti….....yeye ANAIWEZA YANGA!
Hawezi kuwa kocha mkuu cuz hana leaeni ya kumuwezesha awe kocha mkuu yaani hana vigezo LABDA akasome kwanza muwe mnafuatilia hata Moira
Hawezi simba timu kubwa huwezi kuifananisha na polisi na haiwezi kuchukua kocha mzawa awe kocha mkuu hata iwejeKwani kule police alikuwa Na kocha mkuu? Kama jibu ni hapana basi hata hapo kwenu Simba ataendelea kufanya kazi kama ilivyokuwa kwa polisi tz