Simba kuweni serious Matola hana uwezo wa kutufikisha mbali kimataifa

Simba kuweni serious Matola hana uwezo wa kutufikisha mbali kimataifa

Anakuwa kocha msaidizi sio kocha mkuu
Simba watakuja kujuta na hivi sasa nimeanza kuelewa kwa nini makocha wa kigeni hawapendi makocha wasaidizi wa TZ kwa sababu za majungu na kujifanya kuwa wanajua ilhali wote tunafahamu kuwa hawatufikishi mbali.
Majuzi nilimsikia kocha msaidizi wa Aussim ambaye ni mtz alivyokuwa akimponda aliyekuwa bosi wake ambaye ndiye aliyebadilisha mpira wa simba na kuonekana tishio.
 
Kuna mwaka waliwahi kumchukua kocha aliewahi kuwa wa timu ya Taifa S.africa alikuja akakaa miezi haizidi mi3 akatimua aliwaambia timu ni unprofessional. Anaitwa Trott Moloto.
Eti na kocha aliyetimuliwa na spurs kaomba kibarua cha Aussems. Hiyo ni kwa mujibu wa Mabara bingwa wa kujimwambafy
 
umeongea ukweli mtupu, upepo umekata na Matola anachukua mikoba ya uchebe fullstop
Hawezi kuwa kocha mkuu cuz hana leaeni ya kumuwezesha awe kocha mkuu yaani hana vigezo LABDA akasome kwanza muwe mnafuatilia hata Moira
 
Kwani kule police alikuwa Na kocha mkuu? Kama jibu ni hapana basi hata hapo kwenu Simba ataendelea kufanya kazi kama ilivyokuwa kwa polisi tz

Hawezi simba timu kubwa huwezi kuifananisha na polisi na haiwezi kuchukua kocha mzawa awe kocha mkuu hata iweje
 
Kocha mpya was simba huyu hapa:
images (9).jpeg
images (10).jpeg
 
eti wanasema Matola ana records za kuisumbua YANGA tangu akiwa LIPULI na pale POLISI!
 
Back
Top Bottom