Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Kweli simba wanajiua wenyewe mwaka jana tunda kaingia na jeneza ,mwaka huu wamejinyongà hii ni ishara mbaya kwao.....Makombe mtayasikia tu kwa Jirani maishani.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba ya diara hukuona april 16 alitaka kufaJeneza limecheza namba ngapi?
Jeneza lilicheza baada ya kulileta uwanjani ulishaambulia ata kombe la kahawa? Tuonyeshe kombe ulilolipata tokea muingize jeneza uwanjani kwa misimu 2!Jeneza limecheza namba ngapi?
Sahivi hawatakuelewa si unajua ni MBUMBUMBU [emoji16]Kweli simba wanajiua wenyewe mwaka jana tunda kaingia na jeneza ,mwaka huu wamejinyongà hii ni ishara mbaya kwao.....Makombe mtayasikia tu kwa Jirani maishani.....