Inasemekana TFF ya sasa wengi ni Simba damu, tutaona sote kwenye hili la Kwasi credibility yao. Timu zinaenda kwenye professional football lazima na viongozi wa mpira pia wabadilike wasibaki walewale na vilevile. Muda wa kujifunza sasa umekwisha. Tunapenda kuona clubs, wachezaji, marefa, na makocha wanaokosea wakipewa adhabu kubwa sana. Hatutegemei kuona mwekezaji aliyewekeza 20 bil kwenye mpira akaharibiwa mechi za timu yake na referees, au mwekezaji kutumia utajiri wake kununua wachezaji kwa njia haramu au kununua ushindi kutoka kwa mareferee au timu masikini.hili la kwasi liwe fundisho kwa mo dewji. ni wakati sasa kwa mo dewji kuunda kitengo cha scouting ili usajili ufanyike kitaalam kwa msimu mzima na sio kukurupuka siku ya mwisho ya kufunga dirisha la usajili. sio mchezaji kama kwasi akifunga simba basi unamsajili unamuacha beki bora kabisa mwanjale. kwasi na mwajale wapi na wapi kama sio kilima na kichuguu. viongozi hawa hawa walikurupuka kumsajili pastory athanas kutoka stand united kwa kuwa tu aliwafunga yanga. kwa kweli naiona yanga ikienda tena kutwaa ubingwa na simba tutabaki tunalia tena mwaka huu kwa sababu tu ya kitu kidogo weledi. wakati yanga wanaanza kufanya mambo kitaalam na kisayansi sisi tunaanza kurudi nyuma. mfano mdogo tu hata msemaji wao tu katuacha mbali sana wakati wa kwetu yeye ni mipasho tu. hivi upungufu wa simba ilikuwa beki wakati kweli wakati una mwanjale, bukaba, milipili, mmbonde, juuko na nyoni na zaidi kuna beki wa under 20 (jina nimemsahau). na TFF ni wakati sasa wa kufuata sheria ili kukomesha hii tabia ya klabu kubwa kukiuka kanuni za usajili ili iwe fundisho kwa timu zote.
MO bado hajakabidhiwa timu rasmi, kwahiyo masuala ya kupanga safu za uongozi hawezi kifanya kwasasa!hili la kwasi liwe fundisho kwa mo dewji. ni wakati sasa kwa mo dewji kuunda kitengo cha scouting ili usajili ufanyike kitaalam kwa msimu mzima na sio kukurupuka siku ya mwisho ya kufunga dirisha la usajili. sio mchezaji kama kwasi akifunga simba basi unamsajili unamuacha beki bora kabisa mwanjale. kwasi na mwajale wapi na wapi kama sio kilima na kichuguu. viongozi hawa hawa walikurupuka kumsajili pastory athanas kutoka stand united kwa kuwa tu aliwafunga yanga. kwa kweli naiona yanga ikienda tena kutwaa ubingwa na simba tutabaki tunalia tena mwaka huu kwa sababu tu ya kitu kidogo weledi. wakati yanga wanaanza kufanya mambo kitaalam na kisayansi sisi tunaanza kurudi nyuma. mfano mdogo tu hata msemaji wao tu katuacha mbali sana wakati wa kwetu yeye ni mipasho tu. hivi upungufu wa simba ilikuwa beki wakati kweli wakati una mwanjale, bukaba, milipili, mmbonde, juuko na nyoni na zaidi kuna beki wa under 20 (jina nimemsahau). na TFF ni wakati sasa wa kufuata sheria ili kukomesha hii tabia ya klabu kubwa kukiuka kanuni za usajili ili iwe fundisho kwa timu zote.
Siungi mkono hili suala walivyolifanya. Ila na nyie mmefanya sana huu ubabe wa kipuuzi enzi za manji. Sasa risasi imegonga chuma, inawarudia. Vumilia tu hayo maumivu, maana nyie ndiyo waanzilishi.Baada ya kuona usajili wa Simba bado, TFF wameongeza muda hadi 23 December. Kazi ya Msomali na Wambura. Ingekuwa mnufaika ni Yanga yule mlemavu wa akili angekuwa anaimba muda huu
Zamu yetu sasa Malinzi aliwabeba sanaBaada ya kuona usajili wa Simba bado, TFF wameongeza muda hadi 23 December. Kazi ya Msomali na Wambura. Ingekuwa mnufaika ni Yanga yule mlemavu wa akili angekuwa anaimba muda huu
Hahaha..na ss zamu yetu kubebwa?na tff ya karia?Zamu yetu sasa Malinzi aliwabeba sana
Ni wapi risasi imegonga chuma kati ya Simba walioboronga usajili licha ya kuwa vizuri kichumi , na Yanga ambao hawakuboronga (kwa kushindwa kusajili kwa sababu za kiuchumi)? Hao Yanga walipokuwa vyema kiuchumi waliwahi kuboronga namna hii ya kuacha kunasua (aliyenas)a kwa kutega (anayepita)?Siungi mkono hili suala walivyolifanya. Ila na nyie mmefanya sana huu ubabe wa kipuuzi enzi za manji. Sasa risasi imegonga chuma, inawarudia. Vumilia tu hayo maumivu, maana nyie ndiyo waanzilishi.
Mkuu ni kama unatafuta kuhalalisha kosa kwa sababu mtu mwingine alifanya ivo piaSiungi mkono hili suala walivyolifanya. Ila na nyie mmefanya sana huu ubabe wa kipuuzi enzi za manji. Sasa risasi imegonga chuma, inawarudia. Vumilia tu hayo maumivu, maana nyie ndiyo waanzilishi.
Hilo ndo soka letu pendwa la bongo mkuuHahaha..na ss zamu yetu kubebwa?na tff ya karia?
Mwanjalw umri umeenda akiumia anachukua mda mrefu kupona Kwasi ni yanki halafu ni beki mchacharikaji anapandisha timu na kukaba kwa nguvuhili la kwasi liwe fundisho kwa mo dewji. ni wakati sasa kwa mo dewji kuunda kitengo cha scouting ili usajili ufanyike kitaalam kwa msimu mzima na sio kukurupuka siku ya mwisho ya kufunga dirisha la usajili. sio mchezaji kama kwasi akifunga simba basi unamsajili unamuacha beki bora kabisa mwanjale. kwasi na mwajale wapi na wapi kama sio kilima na kichuguu. viongozi hawa hawa walikurupuka kumsajili pastory athanas kutoka stand united kwa kuwa tu aliwafunga yanga. kwa kweli naiona yanga ikienda tena kutwaa ubingwa na simba tutabaki tunalia tena mwaka huu kwa sababu tu ya kitu kidogo weledi. wakati yanga wanaanza kufanya mambo kitaalam na kisayansi sisi tunaanza kurudi nyuma. mfano mdogo tu hata msemaji wao tu katuacha mbali sana wakati wa kwetu yeye ni mipasho tu. hivi upungufu wa simba ilikuwa beki wakati kweli wakati una mwanjale, bukaba, milipili, mmbonde, juuko na nyoni na zaidi kuna beki wa under 20 (jina nimemsahau). na TFF ni wakati sasa wa kufuata sheria ili kukomesha hii tabia ya klabu kubwa kukiuka kanuni za usajili ili iwe fundisho kwa timu zote.
Yanga bana!mashabiki maandazi wana shida sana. simba wanamuona kwasi beki wa maana baada tu ya kuwafunga lile goli la faulu. lakini hakuna anayetumia muda wake kujiuliza jee kwasi atafiti kwenye mfumo wa simba?je usajili wake ni mapendekezo ya kocha mkuu Omog au ni kukurupuka kwa viongozi? je uwezo wake wa kukaba, utulivu timu inaposhambuliwa, uongozi ndani ya uwanja mambo yanapokuwa magumu ukimlinganisha na mwanjali ni sawa? je ataweza kuhimili presha za timu kubwa kama simba?. kama yote hayo yamezingatiwa sawa tumpe muda kwasi aje athibitishe uwanjani kuwa yeye ni bora kuliko mwanjali.
Lakini kibaya ambacho nakipinga ni namna usajili wa kwasi ulivyofanyika. sisi simba tulilalamika sana wakati singano anasajiliwa kimagumashi kwenda azam lakini leo hii tunaunga mkono viongozi wetu wanapomsajili kwasi kibabe wakati
kulikuwa na nafasi ya viongozi wetu kukaa chini na kukubaliana na lipuli. TFF wakiruhusu hili litokee bila ridhaa ya lipuli watavuruga mpira wa nchi hii. haya mambo ya kimagumashi ndiyo yanashusha mpira wetu mwisho wa siku tunaenda kwenye challenge tu hapo kenya tunashangaa zanzibar wasio na ligi yoyote ya maana wa ufadhili wanafika fainali sisi tunatolewa kwenye makundi
Wewe siyo Simba kalale,hafu Yanga vyuma vimekaza mnamtaka pia kwani Kayembe mliemsajili si hana timu yaani bure mliletewa na Tshishimbi,Mkomola nae ni wa mil 10..mlivokuwa na kiherehere mngesajili Mkomola?tulieni tumalize hata vitanomashabiki maandazi wana shida sana. simba wanamuona kwasi beki wa maana baada tu ya kuwafunga lile goli la faulu. lakini hakuna anayetumia muda wake kujiuliza jee kwasi atafiti kwenye mfumo wa simba?je usajili wake ni mapendekezo ya kocha mkuu Omog au ni kukurupuka kwa viongozi? je uwezo wake wa kukaba, utulivu timu inaposhambuliwa, uongozi ndani ya uwanja mambo yanapokuwa magumu ukimlinganisha na mwanjali ni sawa? je ataweza kuhimili presha za timu kubwa kama simba?. kama yote hayo yamezingatiwa sawa tumpe muda kwasi aje athibitishe uwanjani kuwa yeye ni bora kuliko mwanjali.
Lakini kibaya ambacho nakipinga ni namna usajili wa kwasi ulivyofanyika. sisi simba tulilalamika sana wakati singano anasajiliwa kimagumashi kwenda azam lakini leo hii tunaunga mkono viongozi wetu wanapomsajili kwasi kibabe wakati
kulikuwa na nafasi ya viongozi wetu kukaa chini na kukubaliana na lipuli. TFF wakiruhusu hili litokee bila ridhaa ya lipuli watavuruga mpira wa nchi hii. haya mambo ya kimagumashi ndiyo yanashusha mpira wetu mwisho wa siku tunaenda kwenye challenge tu hapo kenya tunashangaa zanzibar wasio na ligi yoyote ya maana wa ufadhili wanafika fainali sisi tunatolewa kwenye makundi
Huo usajili wa Kwasi alihusika afukuzwe Simba kabisa club kubwa Simba mbona mnatuabisha? Kama kweli tunamhitaji Kwasi nini kilishindikana kwenda kwa club ya Lipuli au TFF mkaulizia mkataba wa Kwasi upoje then kama ana mkataba mkaenda Lipuli mkaweka offer mezanj? Mbona mnafanya mambo ya aibu? Timu ndogo kama Mji Njombe zijifunze nini toka Simba?ndugu kilambon kwa taarifa yako mimi ni shabiki wa simba wa kutupwa. lakini kwenye ukweli lazima tuusimamie ili soka letu linde mbele. ni ukweli ulio wazi kuwa simba haikufuata utaratibu kumsajili kwasi. kwa nini tunasahau mapema sana kuwa tulikuwa tunalalamika usajili wa magumashi wa singano kutoka simba kwenda azam lakini tunataka kuhalalisha usajili huo huo wa magumashi wa kwasi kutoka lipuli kuja simba? tukiendelea kuingiza ushabiki kwenye mambo ya msingi kama haya tusitegeeme kuwa soka letu litapanda. lazima kanuni, taratibu na sheria zifuatwe bila kujali hii ni timu ndogo au kubwa.