kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ni aibu timu ya kisasa kabisa kuborongaboronga kwa mambo ya kawaida kabisa yasiohitaji rocket sciences kuyafanya.
Simba mlianza lini kuanza kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na mchezaji Astante Kwasi mwenye mkataba na club nyingine?
Muda uliobaki wa mkataba wa Asante Kwasi na Lipuli uliruhusu Simba kuweza kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na mchezaji huyo?
Mkae mkijua kuwa Hata kama Lipuli "wataridhia" kwenye hili wako wengine wataweka pingamizi kwenye hilo hilo.