Kwa huyu sioni lolote la maana, wengi tu mtakuja kumkataa nyinyi subirini ligi ianze, yani sioni atamweka nani benchi pale maana waliopo wana viwango far better kuliko yeye.Vyuma kutoka overseas,. Abroad wanakuja kuiheshimisha ligue .......ama kweli LaLiga hawakukosea kuwapongeza mabingwa Hawa [emoji23][emoji23]View attachment 2285962
Hata Saido mlitoa kauli hizi hizi,oh mara mstaafu amekaa miaka miwili hana team. Kwa hiyo tushawazoea.Kwa huyu sioni lolote la maana, wengi tu mtakuja kumkataa nyinyi subirini ligi ianze, yani sioni atamweka nani benchi pale maana waliopo wana viwango far better kuliko yeye.
Hapa ni kama mmesajili mchezaji wa ndani tu, unless muwe mnafurahia profile yake.
Saido yuko wapi kwasasa, na ni kwanini sio wengine walioagwa ila yeye tu kama kweli alikuwa kwenye kiwango hicho unachotaka kusema?Hata Saido mlitoa kauli hizi hizi,oh mara mstaafu amekaa miaka miwili hana team. Kwa hiyo tushawazoea.
Bado hujafuatili mpira wake ......hivi ni baadhi ya viwango vyakeKwa huyu sioni lolote la maana, wengi tu mtakuja kumkataa nyinyi subirini ligi ianze, yani sioni atamweka nani benchi pale maana waliopo wana viwango far better kuliko yeye.
Hapa ni kama mmesajili mchezaji wa ndani tu, unless muwe mnafurahia profile yake.
Saido aliamua kuondoka......but nadhani ulishuhudia kiwango chake Bora .......za ndani kabisa makolo walianza kumuhitajiSaido yuko wapi kwasasa, na ni kwanini sio wengine walioagwa ila yeye tu kama kweli alikuwa kwenye kiwango hicho unachotaka kusema?
Laliga waliingia partinership na Yanga ....so usiongee bila kufanya utafitiVyuma kutoka overseas,. Abroad wanakuja kuiheshimisha ligue .......ama kweli LaLiga hawakukosea kuwapongeza mabingwa Hawa [emoji23][emoji23]View attachment 2285962
Na hata Mpira ukimkuta yeye na goli anauruka kwakuwa siyo mfungaji.Bado hujafuatili mpira wake ......hivi ni baadhi ya viwango vyake
Pass accuracy [emoji817]%....jamaa ana piga pasi 70m inamfikia mchezaji mwenzake
Ball control [emoji817]% mpira uko miguuni
Kuhusu kufunga .....yeye sio mfungaji
Sio brand ni ela yako tu inaongeaWalikubali patnership kutokana na ukubwa wa brand ya WANANCHI
Unauliza swali wakati jibu unalo! Si mnataka kumsajili nyinyi! Au mmeshindwana dau kama ilivyokuwa kwa yule Adebayor?Saido yuko wapi kwasasa, na ni kwanini sio wengine walioagwa ila yeye tu kama kweli alikuwa kwenye kiwango hicho unachotaka kusema?
Nani alikwambia kwamba SIMBA Sc imemsajili Saido?Unauliza swali wakati jibu unalo! Si mnataka kumsajili nyinyi! Au mmeshindwana dau kama ilivyokuwa kwa yule Adebayor?
Play off itacheza timu yako ya Ruvu shooting, Dodoma jiji, polisi Tz,Ni hujumaaa
Msimu wa ligue unaokuja hatutaleta team uwanjan hakuna fair compétition mnaleta wachezaji toka Newcastle uko ulaya mara rayo valacano wakat wenzenu tunasajili wakina kyombo walio toka kuishusha team daraja
Yanga mtafute ligi yenu huu uwonevu ndio maana mnamaliza ligi bila kufungwa
Ndugu zangu Wana Simba lazima tuongee hili .....haiwezekani tuna mtoa Morrison ( caterpillar) alafu tunaleta kyombo (baiskeli) Kitu ambacho tunajiuliza Kama Simba Kuna experts wa mambo ya mpira
Mark my words.....mwisho wa msimu ujao tutaanza kupigana kucheza play off......suluhisho ni kuikacha ligue kwa muda
View attachment 2285961