Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Ni hujumaaa
Msimu wa ligue unaokuja hatutaleta team uwanjan hakuna fair compétition mnaleta wachezaji toka Newcastle uko ulaya mara rayo valacano wakat wenzenu tunasajili wakina kyombo walio toka kuishusha team daraja
Yanga mtafute ligi yenu huu uwonevu ndio maana mnamaliza ligi bila kufungwa
Ndugu zangu Wana Simba lazima tuongee hili .....haiwezekani tuna mtoa Morrison ( caterpillar) halafu tunaleta kyombo (baiskeli) Kitu ambacho tunajiuliza Kama Simba Kuna experts wa mambo ya mpira
Mark my words.....mwisho wa msimu ujao tutaanza kupigana kucheza play off......suluhisho ni kuikacha ligue kwa muda