Simba: Kwa sajili hizi, msimu ujao tusiingize timu uwanjani

Bado hujafuatili mpira wake ......hivi ni baadhi ya viwango vyake

Pass accuracy [emoji817]%....jamaa ana piga pasi 70m inamfikia mchezaji mwenzake

Ball control [emoji817]% mpira uko miguuni

Kuhusu kufunga .....yeye sio mfungaji
Hivi kati ya huyo na Alexander Song,nani kakinukisha kwa kiwango cha juu ?
Unajua Alexander Song anachezea ligi gani kwa sasa ? Klabu yake hata makundi Afrika haitoboi
 
Nawakumbusha vijana, wakati mnashinda mitandaoni kuendekeza ushabiki maandazi, hakikisheni mnapambana uchumi wenu binafsi pia unakua!!

sio mnashinda mitandaoni kushabikia timu huku mko jobless!!

Mleta mada anaandika ligue badala ya league!! Unaweza unaona mleta mada ni design gani ya kijana!!!!!
 
Wanayanga tutulie,
Maana kubishana na Kolos ni kuooteza rasilimali muda, tusubiri ligi ianze itajulikana nani ni moto nani ni mdebwedo.

Tofauti na wao sisi tunaimarisha kikosi wao wanajenga kikosi
 
Mna ukubwa wa jina lakn hamn maajabu nje ya nchi ..badala ya miluzi mingi ambayo haina maana so kiongozi lazma ukubali kwamba bado mnasafar ndefu ya kuendeleza kuikuza hy brand kubwa unayoiongelea
We Kolo nje ya Nchi una nini zaidi ya aibu ya hamsa hamsa, kombe gani umechukua?
 
expand...
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Play off itacheza timu yako ya Ruvu shooting, Dodoma jiji, polisi Tz,
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Nani alikwambia kwamba SIMBA Sc imemsajili Saido?

Saido ni mfano wa wachezaji waliowahi kucheza ulaya ila hawajawapa mlichotarajia hapo Yanga Sc, na wote hao wanaletwa na Kaze (mzee wa 10%)
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Mtopolo kaleta utopolo awafurahishe utopolo wenzake.
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…