Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kwa dau waarabu walilomtengea Adebayor, Simba asingeweza kupindua meza.Unauliza swali wakati jibu unalo! Si mnataka kumsajili nyinyi! Au mmeshindwana dau kama ilivyokuwa kwa yule Adebayor?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa dau waarabu walilomtengea Adebayor, Simba asingeweza kupindua meza.Unauliza swali wakati jibu unalo! Si mnataka kumsajili nyinyi! Au mmeshindwana dau kama ilivyokuwa kwa yule Adebayor?
Hivi kati ya huyo na Alexander Song,nani kakinukisha kwa kiwango cha juu ?Bado hujafuatili mpira wake ......hivi ni baadhi ya viwango vyake
Pass accuracy [emoji817]%....jamaa ana piga pasi 70m inamfikia mchezaji mwenzake
Ball control [emoji817]% mpira uko miguuni
Kuhusu kufunga .....yeye sio mfungaji
Mna ukubwa wa jina lakn hamn maajabu nje ya nchi ..badala ya miluzi mingi ambayo haina maana so kiongozi lazma ukubali kwamba bado mnasafar ndefu ya kuendeleza kuikuza hy brand kubwa unayoiongeleaWalikubali patnership kutokana na ukubwa wa brand ya WANANCHI
Na Simba tukaingia partnership na nani? Mo Protector auLaliga waliingia partinership na Yanga ....so usiongee bila kufanya utafiti
Na Simba tukaingia partnership na nani? Mo Protector au
Shida sio partinership shida n kwamb umefanya mangapi makubwaNa Simba tukaingia partnership na nani? Mo Protector au
Yupo kwenye mazungumzo kuhamia timu yenu ya Kolos.Saido yuko wapi kwasasa, na ni kwanini sio wengine walioagwa ila yeye tu kama kweli alikuwa kwenye kiwango hicho unachotaka kusema?
Wewe una maajabu gani nje ya nchi kunishinda Mimi?Mna ukubwa wa jina lakn hamn maajabu nje ya nchi ..badala ya miluzi mingi ambayo haina maana so kiongozi lazma ukubali kwamba bado mnasafar ndefu ya kuendeleza kuikuza hy brand kubwa unayoiongelea
We Kolo nje ya Nchi una nini zaidi ya aibu ya hamsa hamsa, kombe gani umechukua?Mna ukubwa wa jina lakn hamn maajabu nje ya nchi ..badala ya miluzi mingi ambayo haina maana so kiongozi lazma ukubali kwamba bado mnasafar ndefu ya kuendeleza kuikuza hy brand kubwa unayoiongelea
Wewe umefanya makubwa yapi?kama hiyo robo final ya CAF na Shirikisho Mimi nilishafika. Au makubwa unayozungumzia ndio haya...Shida sio partinership shida n kwamb umefanya mangapi makubwa
Kwa huyu sioni lolote la maana, wengi tu mtakuja kumkataa nyinyi subirini ligi ianze, yani sioni atamweka nani benchi pale maana waliopo wana viwango far better kuliko yeye.
Hapa ni kama mmesajili mchezaji wa ndani tu, unless muwe mnafurahia profile yake.
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.expand...
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Play off itacheza timu yako ya Ruvu shooting, Dodoma jiji, polisi Tz,
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Nani alikwambia kwamba SIMBA Sc imemsajili Saido?
Saido ni mfano wa wachezaji waliowahi kucheza ulaya ila hawajawapa mlichotarajia hapo Yanga Sc, na wote hao wanaletwa na Kaze (mzee wa 10%)
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Mtopolo kaleta utopolo awafurahishe utopolo wenzake.