Simba: Kwa sajili hizi, msimu ujao tusiingize timu uwanjani

We Km toka lini upo simba chura wa jangwani
 
Mnashindana na simba halafu simba yenyewe haina habari sijaona timu yenye punguani kama yanga league wameshinda wao ila ndo wanaongoza kwa kulalamika kila kitu wanajiona wanastahili wao na wamewapata mazuzu wanakubali kila kitu wanachoambiwa.
 
Yanga aliibeba Simba? [emoji15][emoji15]
 
Ni kama Samata tu ,kacheza Genk ,Aston Villa ,fernabache ,Royal Antwerp lakini sasa hivi ukisema arudi kwenye vilabu vya bongo ana maajabu gani wakati hata kwa taifa stars tu ni mzigo
Samata Ni mzigo?. Umeanza lini kuujua mpira?
 
Mnashindana na simba halafu simba yenyewe haina habari sijaona timu yenye punguani kama yanga league wameshinda wao ila ndo wanaongoza kwa kulalamika kila kitu wanajiona wanastahili wao na wamewapata mazuzu wanakubali kila kitu wanachoambiwa.
Shida ni kuwa tunawaonea huruma wazee wa fair competition.....pumzi ikianza kukata
 
Anaweza kucheza Manungu kwelu huyu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu Ni fundi popote anacheza anacheza tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…