Simba: Kwa sajili hizi, msimu ujao tusiingize timu uwanjani

Simba: Kwa sajili hizi, msimu ujao tusiingize timu uwanjani

Simba nahisi kuna tatizo la pesa..wajiandae tu na maumivu maana tayari washakosea....kwenye mapambano haya wewe bado unaenda kumpigia magoti Kichuya na unamshindwa Bm 33
 
Ni hujumaaa

Msimu wa ligue unaokuja hatutaleta team uwanjan hakuna fair compétition mnaleta wachezaji toka Newcastle uko ulaya mara rayo valacano wakat wenzenu tunasajili wakina kyombo walio toka kuishusha team daraja
Yanga mtafute ligi yenu huu uwonevu ndio maana mnamaliza ligi bila kufungwa

Ndugu zangu Wana Simba lazima tuongee hili .....haiwezekani tuna mtoa Morrison ( caterpillar) alafu tunaleta kyombo (baiskeli) Kitu ambacho tunajiuliza Kama Simba Kuna experts wa mambo ya mpira

Mark my words.....mwisho wa msimu ujao tutaanza kupigana kucheza play off......suluhisho ni kuikacha ligue kwa muda
View attachment 2285961
Nyani wa Utopolo mnawashwa sana na mambo ya Simba
 
Simba nahisi kuna tatizo la pesa..wajiandae tu na maumivu maana tayari washakosea....kwenye mapambano haya wewe bado unaenda kumpigia magoti Kichuya na unamshindwa Bm 33
Watapata taabu sana
 
Mpalange FC ulimbukeni unawasumbua sana.
Makolo wanalia mitandaoni
FB_IMG_16575151255105419.jpg
 
Back
Top Bottom