Simba: Kwa sajili hizi, msimu ujao tusiingize timu uwanjani

Utopolo fanyeni yenu Simba inawaumiza sana vichwa yani nyie ni waswahili swahili tulijua labda mijineno neno ni kw sbb hamkua na makombe misimu 4 at least mmepata mtatulia ila holaaa tukajua mmepata mfdhili at least mwenye vi hela vya kuwafanya wachezaji wabadili mboga tukajua mtatulia mtabehave kama matured people lakini walaaaa kutwaa ya simba yapo midomonii na mtapigika sana vichwa vyenu mpk mkae sawa kisaikolojia sio leo kumbe kukosa makombe mfululizo akili zinadumaa. Simba wawachabange tena msimu unaokuja na hao hao kina kyombo nyie si mnajiamini sana? Wait and see
 
Wanayanga tutulie,
Maana kubishana na Kolos ni kuooteza rasilimali muda, tusubiri ligi ianze itajulikana nani ni moto nani ni mdebwedo.

Tofauti na wao sisi tunaimarisha kikosi wao wanajenga kikosi
Waache tu waongee, tutaanza kuwapa kipigo cha mbwa koko ngao ya jamii
 
Utopolo fanyeni yenu Simba inawaumiza sana vichwa yani nyie ni waswahili swahili tulijua labda mijineno neno ni kw sbb hamkua na makombe misimu 4 at least mmepata mtatulia ila holaaa tukajua mmepata mfdhili at least mwenye vi hela vya kuwafanya wachezaji wabadili mboga tukajua mtatulia mtabehave kama matured people lakini walaaaa kutwaa ya simba yapo midomonii na mtapigika sana vichwa vyenu mpk mkae sawa kisaikolojia sio leo kumbe kukosa makombe mfululizo akili zinadumaa. Simba wawachabange tena msimu unaokuja na hao hao kina kyombo nyie si mnajiamini sana? Wait and see
Hili povu linafaa kufulia nguo za gereji
 
Makolo wanalia mitandaoni View attachment 2286817
Kwa huyu mbeba maboksi?
JamiiForums-9491770.jpg
 
Utopolo fanyeni yenu Simba inawaumiza sana vichwa yani nyie ni waswahili swahili tulijua labda mijineno neno ni kw sbb hamkua na makombe misimu 4 at least mmepata mtatulia ila holaaa tukajua mmepata mfdhili at least mwenye vi hela vya kuwafanya wachezaji wabadili mboga tukajua mtatulia mtabehave kama matured people lakini walaaaa kutwaa ya simba yapo midomonii na mtapigika sana vichwa vyenu mpk mkae sawa kisaikolojia sio leo kumbe kukosa makombe mfululizo akili zinadumaa. Simba wawachabange tena msimu unaokuja na hao hao kina kyombo nyie si mnajiamini sana? Wait and see
Mkuu..... hizi hasira zingesaidia Kama ungezi direct kwa mwamedi[emoji23][emoji23]
 
Saido yuko wapi kwasasa, na ni kwanini sio wengine walioagwa ila yeye tu kama kweli alikuwa kwenye kiwango hicho unachotaka kusema?
Ninaumiaga tukiitwa Mbumbumbu huenda ni kwa ajili ya watu kama wewe.
Saido unawezaje kusema hakuwa mchezaji mzuri Yanga?
Suala la kuachwa ni kwa vile wamesajiliwachezaji bora kuliko yeye
 
Kwa hiyo swala la yeye kucheza ulaya halikumfanya awe na kiwango cha kuwashaiwushi mabosi wake kumuongeza mkataba, naweza sema alikuwa na kiwango sawa na wachezaji watz wengi tu.

Swala la wewe kuitwa Mbumbumbu libaki kwako na aliyekuzaa, mimi silijui.
 
Back
Top Bottom