Simba kwa udhalilishaji huu na mikosi ya kujitakia mtatoka patupu

Bwana Bima

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
429
Reaction score
929
Leo katika tamasha lao imepnyeshwa tukio tundaman akimnyonga mtu the same msimu uliopita ishu ya jeneza. Mbaya zaidi Ahmed ndo kaharibu kabisa ashukuru Azam walizima tukio hilo lisionyeshwe. Naweka hapa ushahidi. Jamn coz ni muda watu kufurahi acheni mambo ya kudhalilisha watu
 
Attachments

  • Snapinsta.app_video_366073719_134343483051581_5405186932406419731_n.mp4
    931.3 KB
Leo katika tamasha lao imepnyeshwa tukio tundaman akimnyonga mtu the same msimu uliopita ishu ya jeneza. Mbaya zaidi Ahmed ndo kaharibu kabisa ashukuru Azam walizima tukio hilo lisionyeshwe. Naweka hapa ushahidi. Jamn coz ni muda watu kufurahi acheni mambo ya kudhalilisha watu
Kwani wewe ulitakaje maana sijaona udhalilishaji wowote
 
Leo katika tamasha lao imepnyeshwa tukio tundaman akimnyonga mtu the same msimu uliopita ishu ya jeneza. Mbaya zaidi Ahmed ndo kaharibu kabisa ashukuru Azam walizima tukio hilo lisionyeshwe. Naweka hapa ushahidi. Jamn coz ni muda watu kufurahi acheni mambo ya kudhalilisha watu
Wamejinyonga wenyewe wapuuzi hao, binadamu akishajinyonga kinachofata ni kuwekwa kwenye jeneza ambalo walishalitengeneza wao wenyewe🤣🤣
 
Leo katika tamasha lao imepnyeshwa tukio tundaman akimnyonga mtu the same msimu uliopita ishu ya jeneza. Mbaya zaidi Ahmed ndo kaharibu kabisa ashukuru Azam walizima tukio hilo lisionyeshwe. Naweka hapa ushahidi. Jamn coz ni muda watu kufurahi acheni mambo ya kudhalilisha watu
unaugulia kutokea kibanda umiza cha wapi ndg?.
 
FB_IMG_16913318987297281.jpg
 
Leo katika tamasha lao imepnyeshwa tukio tundaman akimnyonga mtu the same msimu uliopita ishu ya jeneza. Mbaya zaidi Ahmed ndo kaharibu kabisa ashukuru Azam walizima tukio hilo lisionyeshwe. Naweka hapa ushahidi. Jamn coz ni muda watu kufurahi acheni mambo ya kudhalilisha watu
Kwa walicho kifanya Simba kina maanisha Manara ni mkubwa kuliko Simba. Kwani mpaka sasa hadhi ya club mshaishusha na bado Manara yupo vichwani mwa viongozi wa Simba kwani kama kiongozi huwezi kubariki hiki kitendo kwenda kwenye umma wa watu tena kina rushwa live kwenye TV.

Manara ni chizi ni wa kuachana nae ,sometimes na jiulizaga Yanga walimchukulia nini,kwani nilikuwa na mpinga tokea siku alipo tangazwa na viongozi wa Yanga.

Ila still bado yule ni binadamu pili ni albino, walicho kifanya naona wametanguliza chuki kuliko busara, wanazani wamemkomoa Manara,ila hawajui wamewaumiza Albino wote.

Na yule albino nae kama sio mzima anaonekama ana uchizi fulani.
 
Back
Top Bottom