joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Siku zote kwenye mpira husi muattack mtu personally, bali mtanie tu kwa kuangalia rekodi yake,historia yake,vituko vya viongozi wake na wachezaji wake nk.Ndivyo utani ulivyo na si kuanza kumuattack mtu personally.Nimeiona mkuu..sio vzr ila kwa kero za manara wacha tuu na yy akerwe
Mpira unavitu vingi sana vya kutaniana na hasa kama ukiijua historia na rekodi ya timu pinzani hukosi vya kutania.