joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Siku zote kwenye mpira husi muattack mtu personally, bali mtanie tu kwa kuangalia rekodi yake,historia yake,vituko vya viongozi wake na wachezaji wake nk.Ndivyo utani ulivyo na si kuanza kumuattack mtu personally.Nimeiona mkuu..sio vzr ila kwa kero za manara wacha tuu na yy akerwe
Tangu Ahmed Ally afike Simba kumekuwa na matukio ya ajabu Sana. Huu nao ni utani kweli? Mbona Mambo ya kutania yako mengi kama lile la hat trick ya Kibadeni?Siku zote kwenye mpira husi muattack mtu personally, bali mtanie tu kwa kuangalia rekodi yake,historia yake,vituko vya viongozi wake na wachezaji wake nk.Ndivyo utani ulivyo na si kuanza kumuattack mtu personally.
Mpira unavitu vingi sana vya kutaniana na hasa kama ukiijua historia na rekodi ya timu pinzani hukosi vya kutania.
Vingi kuna tano bila na vinginevyo.Tangu Ahmed Ally afike Simba kumekuwa na matukio ya ajabu Sana. Huu nao ni utani kweli? Mbona Mambo ya kutania yako mengi kama lile la hat trick ya Kibadeni?
Bwana LIKUD vp tukio la kunyonga au halina uhusiano kwenye mambo ya rohoNi kejeli kwa manara
manara ni shabiki tu, anawanyima amani?Sasa Albino ametaka mwenyewe tufanyeje..japo sio vizuri..
Ila kwa mdomo mchafu wa Manara anavyokera wenzie..kuita watu kuku..ngoja tuu wamdhalilishe.
Leo katika tamasha lao imepnyeshwa tukio tundaman akimnyonga mtu the same msimu uliopita ishu ya jeneza. Mbaya zaidi Ahmed ndo kaharibu kabisa ashukuru Azam walizima tukio hilo lisionyeshwe. Naweka hapa ushahidi. Jamn coz ni muda watu kufurahi acheni mambo ya kudhalilisha watu
Simba wana vitu vingi sana vizuri vya kujifunza kutoka Yanga. Mwenye matamasha ya Yanga unakutana na burudani ya ukweli mwanzo mwisho.Leo katika tamasha lao imepnyeshwa tukio tundaman akimnyonga mtu the same msimu uliopita ishu ya jeneza. Mbaya zaidi Ahmed ndo kaharibu kabisa ashukuru Azam walizima tukio hilo lisionyeshwe. Naweka hapa ushahidi. Jamn coz ni muda watu kufurahi acheni mambo ya kudhalilisha watu
Ilikua mpera mpera, nusu saa kabla ya mechi akaingia yule dj alikiwasha hakuna aliekaa.Simba wana vitu vingi sana vizuri vya kujifunza kutoka Yanga. Mwenye matamasha ya Yanga unakutana na burudani ya ukweli mwanzo mwisho.
Kamwe huwezi kuona maigizo kama ya watoto wa sekondari. Kwa kweli ukiangalia tamasha la Yanga, unafurahi mwanzo mwisho.
Unasema hujui nini ya hiyo kitu lakini unasema udhalilishaji. Upo vizuri upstairs kweliHuu kwel ni udhalilishaji..mantiki ya hii kitu ni nini????
Kama ni kejeli kwa Haji Manara naunga mkono kwani huyu mjinga ugomvi wake na Barbara aliugeuza kama ni ugomvi na Simba yote hivyo moja kwa moja ameji-brand kuwa ni adui wa Simba Sports Club. Adhalilishwe vyovyote vile mimi nitaunga mkono hana adabuNi kejeli kwa manara
siko vizur upstairs boss..Unasema hujui nini ya hiyo kitu lakini unasema udhalilishaji. Upo vizuri upstairs kweli
Kwenye matamasha ya Yanga unakutana na burudani ya ukweli mwanzo mwisho.
Ilikua mpera mpera, nusu saa kabla ya mechi akaingia yule dj alikiwasha hakuna aliekaa.
Alituburudisha mimi na wewe tulioangalia kupitia azam, wewe ukasema hapana lazima upige na picha ya kupost jf