Simba kwanini tunashindana na Yanga?

Simba kwanini tunashindana na Yanga?

Hapo vip?
FB_IMG_1651310444558.jpg
 
Ila bado hamjalipa ile ya 6-0😅😅😅😅
Mara nyingi Kama si zote,Simba amfungapo yanga goli nyingi Basi huwa Kuna mgogoro yanga,6-0 yanga walifukuza kikosi chote Cha yanga,5-0 yanga walikua hawamtaki nchunga Kama mwenyekiti wao,hata kiongozi wa Simba alisema yanga wamejifunga hizo 5
 
Back
Top Bottom