Mbumbumbu fc wengi hasa awa vijana hawatambui kama Simba Alisha wahi kufungwa 5-0 na Yanga.Nimeweka,julai mosi 1968 yanga 5-0 simba
Ila bado hamjalipa ile ya 6-0π π π πMbumbumbu fc wengi hasa awa vijana hawatambui kama Simba Alisha wahi kufungwa 5-0 na Yanga.
Uko sahihi ni hiyo tu ila 5-0 mlishabugizwaIla bado hamjalipa ile ya 6-0[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Atapita kama haoni
Mara nyingi Kama si zote,Simba amfungapo yanga goli nyingi Basi huwa Kuna mgogoro yanga,6-0 yanga walifukuza kikosi chote Cha yanga,5-0 yanga walikua hawamtaki nchunga Kama mwenyekiti wao,hata kiongozi wa Simba alisema yanga wamejifunga hizo 5Ila bado hamjalipa ile ya 6-0π π π π