Mleta uzi ana uzoefu wa kilimo hicho cha maboga matamu hadi masoko yake.Atatupa tuisheni.Wapi tikiti ni 5000?
Shambani matikiti hayazidi 2000 na hayo ni makubwa
Na kubakia kupigana vijembe tu visivyo na tija.Ukifika uchaguzi wanachaguliwa wanaoweza kumfunga mtani.Na ule uwanja wetu wa Kaunda kwa nini tusijenge mabwawa ya samaki kwa ajili ya kuwauzia majirani na pia kuwagawia wachezaji wetu kama zawadi?
Maana Yanga na simba baba yao ni mmoja!! Tangu miaka ya 1930's! Mpaka leo wanategemea viwanja vya serikali. Yaani timu zilizoanzishwa miaka ya 1990's na 2000's kama Azam Fc, Mtibwa Sugar, Ihefu Fc, Namungo Fc, nk zina viwanja vyao!
Ila ukija kwa Yanga na simba, kila siku viongozi wao wanapiga tu porojo, na kuwahadaa mashabiki na wanachama.
Tusipobadilika kwa kujificha kwenye kichaka cha utani hatutaendelea.Tubadilike.Bora hata na hao Simba wana uwanja bunju mzuri tu nyie wenu si mnafugia vyura.
Hizi timu zinafanya watu wanakuwa wapumbavu sana...
Tukazanie na kuzalisha wachezaji wetu wa ndani.Timu hizi zinafanya vema kimataifa.Ikifika zamu ya timu yetu ya taifa hatuna furaha kabisa.Bora hata hao simba uwanja upo. Mazoezi yanafanyika na Simba queens wanachezea match.
Utawakwaza.Timu zetu hizi mbili bure kabisa.Tuonyesheni uwanja wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hapana mkuu.....hii ni mbinu nzuri ya kumobilize fundAkili za kimadenge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app