Simba kwanini ule uwanja wa Bunju msiutumie kulima matikiti? Itawalipa sana

Simba kwanini ule uwanja wa Bunju msiutumie kulima matikiti? Itawalipa sana

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kwa namna timu yetu inavyopitia kipindi kugumu Kwa ukosefu wa pesa za usajiri wa key players nashauri ule uwanja wa Bunju ubadilishwe matumizi kwenda kwenye kilimo cha matikiti then tutayauza Kwa lazima kwa Makolo wanavyoingia Kwa mkapa kucheki mechi.

Mfano tutapata matikiti 90,000. Itakua hivi

Tikiti 1 = 5000

Tikiti 90000 = ?
5000 × 90000

Hakika tutapiga pesa ndefu ambazo zita improve usajili mkubwa kama yanga [emoji4][emoji4]

Screenshot_20230521-001159.jpg
 
Na ule uwanja wetu wa Kaunda kwa nini tusijenge mabwawa ya samaki kwa ajili ya kuwauzia majirani na pia kuwagawia wachezaji wetu kama sehemu ya motisha pale wanapofanya vuzuri kwenye mechi zao?

Maana Yanga na simba baba yao ni mmoja!! Tangu miaka ya 1930's! Mpaka leo wanategemea viwanja vya serikali. Yaani timu zilizoanzishwa miaka ya 1990's na 2000's kama Azam Fc, Mtibwa Sugar, Ihefu Fc, Namungo Fc, nk zina viwanja vyao!

Ila ukija kwa Yanga na simba, kila siku viongozi wao wanapiga tu porojo, na kuwahadaa mashabiki na wanachama.
 
Na ule uwanja wetu wa Kaunda kwa nini tusijenge mabwawa ya samaki kwa ajili ya kuwauzia majirani na pia kuwagawia wachezaji wetu kama zawadi?

Maana Yanga na simba baba yao ni mmoja!! Tangu miaka ya 1930's! Mpaka leo wanategemea viwanja vya serikali. Yaani timu zilizoanzishwa miaka ya 1990's na 2000's kama Azam Fc, Mtibwa Sugar, Ihefu Fc, Namungo Fc, nk zina viwanja vyao!

Ila ukija kwa Yanga na simba, kila siku viongozi wao wanapiga tu porojo, na kuwahadaa mashabiki na wanachama.
Na kubakia kupigana vijembe tu visivyo na tija.Ukifika uchaguzi wanachaguliwa wanaoweza kumfunga mtani.
 
Back
Top Bottom