Simba kwanini ule uwanja wa Bunju msiutumie kulima matikiti? Itawalipa sana

Prof Eng hersi kaahidi soon unaanzakujengwa
 
Sababu za kisiasa,ndo zinafanya hizi timu kamwe zisije kumiliki uwanja,watu watapigwa fix miaka nenda miaka rudi,ila kumiliki uwanja wao binafsi,haiji tokea.
 
Sababu za kisiasa,ndo zinafanya hizi timu kamwe zisije kumiliki uwanja,watu watapigwa fix miaka nenda miaka rudi,ila kumiliki uwanja wao binafsi,haiji tokea.
Sure mkuu
Maana hata Simba walipigwa zengwe sana kutoka nyasi zao pale bandarini mpaka watu wakawa wanajiuliza ni Kodi pekee au kuna lingine
 
Na nyie Kwa nini msifuge kambale pale Kaunda? Kambale mmoja 1500 na ukubwa wa pale unaweza kuzalisha Hadi kambale 3,000,000.
Chukua 1500x3000000=4.5b
Mnamnunua Shalulele na chenji inabaki.
 
Kwa kweli nikiwa kama mshabiki wa Yanga, naisubiria hii ahadi kwa hamu kubwa.

Maana inahuzunisha kuona klabu kubwa na kongwe kama Yanga! Klabu iliyoanzishwa mwaka 1935, ikimiliki lile jengo moja tu la pale Jangwani.
Hakika mkuu
 
Na nyie Kwa nini msifuge kambale pale Kaunda? Kambale mmoja 1500 na ukubwa wa pale unaweza kuzalisha Hadi kambale 3,000,000.
Chukua 1500x3000000=4.5b
Mnamnunua Shalulele na chenji inabaki.
Mkuu sisi tunajitosheleza financially..... mbele ya GSM......
 
Mkuu, pale jangwani mpunga unakubali mno...tufuate hatua hizi

1. Washabiki wa yanga kuwahi na chengo na mafyekeo na mapanga saa 12 alfajil mpaka jua likiwaka saa 4 tutakuwa tushamaliza,

2. Jua likiwaka la kutosha baada ya wiki tunachoma moto[emoji91]

3. Washabiki kuja na majembe kwa ajili ya kukatua na kuvuruga hii kazi ya siku 1 tu...

4. Mashabiki kuja kumwaga mpunga hii kazi ya siku 1 tu[emoji23]

5. Kung'olea tutaakuwa tunapanga zamu



Tutapata mpunga mwingi sana,mwisho wa msimu tutakula wali na ng'ombe wa mayele, najua matunda tutapata kwa jirani kule bunju wakivuna matikiti yao.
 
Kwakweli nazidi kuamini hakuna utopolo hata mmoja ambaye amewahi kumiliki akili japo hata hata kwa sekunde Moja tu.
Huyo unayemsema angalau ana uwanja japo wa mazoezi . Timu lako linachokimiliki labda ni ndevu za morison halafu makelele kibao .

Ama kweli , Luc Eymael ajengewe Mnara kwenye majaruba ya jangwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…