mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Cha mtu siyo chako. Jengeni uwanja angalau hata wa mazoezi tu kama ilivyo kwa simba. Siku gsm akinuna mtatembeza tena bakuli.Mkuu sisi tunajitosheleza financially..... mbele ya GSM......
Mkuu mi naona pale Yanga wako well financially stable kuliko makolo ambao Kila siku wanamlilia mwamediiiMkuu, pale jangwani mpunga unakubali mno...tufuate hatua hizi
1. Washabiki wa yanga kuwahi na chengo na mafyekeo na mapanga saa 12 alfajil mpaka jua likiwaka saa 4 tutakuwa tushamaliza,
2. Jua likiwaka la kutosha baada ya wiki tunachoma moto[emoji91]
3. Washabiki kuja na majembe kwa ajili ya kukatua na kuvuruga hii kazi ya siku 1 tu...
4. Mashabiki kuja kumwaga mpunga hii kazi ya siku 1 tu[emoji23]
5. Kung'olea tutaakuwa tunapanga zamu
Tutapata mpunga mwingi sana,mwisho wa msimu tutakula wali na ng'ombe wa mayele, najua matunda tutapata kwa jirani kule bunju wakivuna matikiti yao.
Lkn Yanga bado wanapesa nyingi ....coz Wana muwekezaji makiniKwakweli nazidi kuamini hakuna utopolo hata mmoja ambaye amewahi kumiliki akili japo hata hata kwa sekunde Moja tu.
Huyo unayemsema angalau ana uwanja japo wa mazoezi . Timu lako linachokimiliki labda ni ndevu za morison halafu makelele kibao .
Ama kweli , Luc Eymael ajengewe Mnara kwenye majaruba ya jangwani.
Ila binafsi sikubaliani na ujenzi wa uwanja baada ya kuona utitiri wa makato. Kama kujenga labda wajenge kwaajili ya kufanyia mazoezi tu. Na sio uwanja kwa ajili ya michezo rasmi.Na ule uwanja wetu wa Kaunda kwa nini tusijenge mabwawa ya samaki kwa ajili ya kuwauzia majirani na pia kuwagawia wachezaji wetu kama sehemu ya motisha pale wanapofanya vuzuri kwenye mechi zao?
Maana Yanga na simba baba yao ni mmoja!! Tangu miaka ya 1930's! Mpaka leo wanategemea viwanja vya serikali. Yaani timu zilizoanzishwa miaka ya 1990's na 2000's kama Azam Fc, Mtibwa Sugar, Ihefu Fc, Namungo Fc, nk zina viwanja vyao!
Ila ukija kwa Yanga na simba, kila siku viongozi wao wanapiga tu porojo, na kuwahadaa mashabiki na wanachama.
Labda , ngoja tusubiri. Hata Mo alianza hivyo hivyo.Lkn Yanga bado wanapesa nyingi ....coz Wana muwekezaji makini
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sentensi ina ka harufu ka ubaguzi. Au unaoje mkuu?Wahindi ni waswahili...... GSM ni mwarabu
Manzoki anakuwa ni chambo kupumbaza Mashabiki wa Makolokolo kwenye uchaguzi wa wenye viti [emoji38][emoji125]Na kubakia kupigana vijembe tu visivyo na tija.Ukifika uchaguzi wanachaguliwa wanaoweza kumfunga mtani.
Na B 7 zote zimo kiibindoni mwa Pilato [emoji1]SIMBA WANA ALMOST BILIONI SABA 7
SUPER LEAGUE. 5
CAFCL 2
Kwa namna timu yetu inavyopitia kipindi kugumu Kwa ukosefu wa pesa za usajiri wa key players nashauri ule uwanja wa Bunju ubadilishwe matumizi kwenda kwenye kilimo cha matikiti then tutayauza Kwa lazima kwa Makolo wanavyoingia Kwa mkapa kucheki mechi.
Mfano tutapata matikiti 90,000. Itakua hivi
Tikiti 1 = 5000
Tikiti 90000 = ?
5000 × 90000
Hakika tutapiga pesa ndefu ambazo zita improve usajili mkubwa kama yanga [emoji4][emoji4]
View attachment 2629646
Viongozi sijui wanawachukuliaje .....mashabiki wa Makolo [emoji23]Manzoki anakuwa ni chambo kupumbaza Mashabiki wa Makolokolo kwenye uchaguzi wa wenye viti [emoji38][emoji125]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
GSM anafanya nini pale utopoloni?Mkuu mi naona pale Yanga wako well financially stable kuliko makolo ambao Kila siku wanamlilia mwamediii
Ushahamisha goliIla mwaka huu wana 0 trophy
Ac Milan na Inter Milan nazo HAZINA viwanja vya mechi.Na ule uwanja wetu wa Kaunda kwa nini tusijenge mabwawa ya samaki kwa ajili ya kuwauzia majirani na pia kuwagawia wachezaji wetu kama sehemu ya motisha pale wanapofanya vuzuri kwenye mechi zao?
Maana Yanga na simba baba yao ni mmoja!! Tangu miaka ya 1930's! Mpaka leo wanategemea viwanja vya serikali. Yaani timu zilizoanzishwa miaka ya 1990's na 2000's kama Azam Fc, Mtibwa Sugar, Ihefu Fc, Namungo Fc, nk zina viwanja vyao!
Ila ukija kwa Yanga na simba, kila siku viongozi wao wanapiga tu porojo, na kuwahadaa mashabiki na wanachama.