Simba kwanini ule uwanja wa Bunju msiutumie kulima matikiti? Itawalipa sana

Simba kwanini ule uwanja wa Bunju msiutumie kulima matikiti? Itawalipa sana

Mkuu, pale jangwani mpunga unakubali mno...tufuate hatua hizi

1. Washabiki wa yanga kuwahi na chengo na mafyekeo na mapanga saa 12 alfajil mpaka jua likiwaka saa 4 tutakuwa tushamaliza,

2. Jua likiwaka la kutosha baada ya wiki tunachoma moto[emoji91]

3. Washabiki kuja na majembe kwa ajili ya kukatua na kuvuruga hii kazi ya siku 1 tu...

4. Mashabiki kuja kumwaga mpunga hii kazi ya siku 1 tu[emoji23]

5. Kung'olea tutaakuwa tunapanga zamu

Tutapata mpunga mwingi sana,mwisho wa msimu tutakula wali na ng'ombe wa mayele, najua matunda tutapata kwa jirani kule bunju wakivuna matikiti yao.
Mkuu mi naona pale Yanga wako well financially stable kuliko makolo ambao Kila siku wanamlilia mwamediii
 
Kwakweli nazidi kuamini hakuna utopolo hata mmoja ambaye amewahi kumiliki akili japo hata hata kwa sekunde Moja tu.
Huyo unayemsema angalau ana uwanja japo wa mazoezi . Timu lako linachokimiliki labda ni ndevu za morison halafu makelele kibao .

Ama kweli , Luc Eymael ajengewe Mnara kwenye majaruba ya jangwani.
Lkn Yanga bado wanapesa nyingi ....coz Wana muwekezaji makini

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na ule uwanja wetu wa Kaunda kwa nini tusijenge mabwawa ya samaki kwa ajili ya kuwauzia majirani na pia kuwagawia wachezaji wetu kama sehemu ya motisha pale wanapofanya vuzuri kwenye mechi zao?

Maana Yanga na simba baba yao ni mmoja!! Tangu miaka ya 1930's! Mpaka leo wanategemea viwanja vya serikali. Yaani timu zilizoanzishwa miaka ya 1990's na 2000's kama Azam Fc, Mtibwa Sugar, Ihefu Fc, Namungo Fc, nk zina viwanja vyao!

Ila ukija kwa Yanga na simba, kila siku viongozi wao wanapiga tu porojo, na kuwahadaa mashabiki na wanachama.
Ila binafsi sikubaliani na ujenzi wa uwanja baada ya kuona utitiri wa makato. Kama kujenga labda wajenge kwaajili ya kufanyia mazoezi tu. Na sio uwanja kwa ajili ya michezo rasmi.
 
Ila binafsi sikubaliani na ujenzi wa uwanja baada ya kuona utitiri wa makato. Kama kujenga labda wajenge kwaajili ya kufanyia mazoezi tu. Na sio uwanja kwa ajili ya michezo rasmi.
Kwann mkuu
 
Kwa namna timu yetu inavyopitia kipindi kugumu Kwa ukosefu wa pesa za usajiri wa key players nashauri ule uwanja wa Bunju ubadilishwe matumizi kwenda kwenye kilimo cha matikiti then tutayauza Kwa lazima kwa Makolo wanavyoingia Kwa mkapa kucheki mechi.

Mfano tutapata matikiti 90,000. Itakua hivi

Tikiti 1 = 5000

Tikiti 90000 = ?
5000 × 90000

Hakika tutapiga pesa ndefu ambazo zita improve usajili mkubwa kama yanga [emoji4][emoji4]

View attachment 2629646
f73d412c59068b02bed4f87100643037_1.jpg
 
USHAURI KWA SIMBA NA YANGA;
Simba wamchukue kocha Profesa Nabi wa Yanga.... halafu Yanga walipize kwa kumchukua Matola wa Simba.
 
Na ule uwanja wetu wa Kaunda kwa nini tusijenge mabwawa ya samaki kwa ajili ya kuwauzia majirani na pia kuwagawia wachezaji wetu kama sehemu ya motisha pale wanapofanya vuzuri kwenye mechi zao?

Maana Yanga na simba baba yao ni mmoja!! Tangu miaka ya 1930's! Mpaka leo wanategemea viwanja vya serikali. Yaani timu zilizoanzishwa miaka ya 1990's na 2000's kama Azam Fc, Mtibwa Sugar, Ihefu Fc, Namungo Fc, nk zina viwanja vyao!

Ila ukija kwa Yanga na simba, kila siku viongozi wao wanapiga tu porojo, na kuwahadaa mashabiki na wanachama.
Ac Milan na Inter Milan nazo HAZINA viwanja vya mechi.
 
Back
Top Bottom