Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni makato ni mengi mno,Kwann mkuu
Kabisa mkuuTatizo ni makato ni mengi mno,
BMT
Bodi ya ligi
TFF
VAT
DRFA
Hao wote wanapokea mgao wa mapato ya gate collection asa hivyo viwanjav vya Simba na Yanga watakuwa wamejenga kwaajili ya kunufaisha tu hao. Timu zililie kwanza kupunguzwa kwa makato katika mapato ya viingilio uwanjani