Mimi mwenyewe nimetoka kapaLeta habari iliyokamilika boss. Nini kimetokea? Nani kakifanya?
Nimeiona video. Kaamua awatie hasira kidogo, sasa akiwafunga ndo mtamchukia haswa.kwenye Instagram page ya Simba wamepost video ya kumtambulisha mchezaji wao mpya Jonathan Sowah aliyekuwa Singida BS. kwenye video hiyo, Sowah anaonekana akichana picha ya Hersi Said (Rais wa Yanga), alafu anabandika picha ya Dewji (Rais wa Simba)
mtoa mada analalamikia kitendo hicho kuwa si cha kiungwana na hakikuwa na ulazima wowote.
Asingechana wazee wangemuacha awe na mafanikio ili Simba nayo ifanikiwe?kwa mtazamo wangu huyu Sowah ni kama amejipalia makaa ya moto kwa kitendo chake hicho. Yanga ni watu wa kisasi. Wazee wanaweza wakamvalia njuga na asiwe na mafanikio yoyote huko Simba
Wenye akili ni wawili tukwenye Instagram page ya Simba wamepost video ya kumtambulisha mchezaji wao mpya Jonathan Sowah aliyekuwa Singida BS. kwenye video hiyo, Sowah anaonekana akichana picha ya Hersi Said (Rais wa Yanga), alafu anabandika picha ya Dewji (Rais wa Simba)
mtoa mada analalamikia kitendo hicho kuwa si cha kiungwana na hakikuwa na ulazima wowote.
kwa mtazamo wangu huyu Sowah ni kama amejipalia makaa ya moto kwa kitendo chake hicho. Yanga ni watu wa kisasi. Wazee wanaweza wakamvalia njuga na asiwe na mafanikio yoyote huko Simba
Hao wazee mbn walishindwa kumfanya chochote Feisal aliyewatuhumu kumlisha ugali na sukari na bado akaondoka kinguvu na anupiga mwingi mpaka leo hiikwenye Instagram page ya Simba wamepost video ya kumtambulisha mchezaji wao mpya Jonathan Sowah aliyekuwa Singida BS. kwenye video hiyo, Sowah anaonekana akichana picha ya Hersi Said (Rais wa Yanga), alafu anabandika picha ya Dewji (Rais wa Simba)
mtoa mada analalamikia kitendo hicho kuwa si cha kiungwana na hakikuwa na ulazima wowote.
kwa mtazamo wangu huyu Sowah ni kama amejipalia makaa ya moto kwa kitendo chake hicho. Yanga ni watu wa kisasi. Wazee wanaweza wakamvalia njuga na asiwe na mafanikio yoyote huko Simba
Ndio anachomaanisha kwamba hao wazee wakiamua tu uwe mbovu unakuwa kwahiyo hata wakina Kagere wakiwaka hapa bongo hao wazee walikuwa hawaamui tuAsingechana wazee wangemuacha awe na mafanikio ili Simba nayo ifanikiwe?
Nimecheka sana mkuu..Karne hii wazungu wanajenga hotel kwenye sayar nyingine , watu wengine wanawaza uchawi wa wazee eti kumfanyia mtu awe mbovu kimpira ..modern football?!Nimeiona video. Kaamua awatie hasira kidogo, sasa akiwafunga ndo mtamchukia haswa.
Asingechana wazee wangemuacha awe na mafanikio ili Simba nayo ifanikiwe?
Baada ya mechi .......Atavunjika/paja hatocheza atapona baada ya miezi kadhaa.kwenye Instagram page ya Simba wamepost video ya kumtambulisha mchezaji wao mpya Jonathan Sowah aliyekuwa Singida BS. kwenye video hiyo, Sowah anaonekana akichana picha ya Hersi Said (Rais wa Yanga), alafu anabandika picha ya Dewji (Rais wa Simba)
mtoa mada analalamikia kitendo hicho kuwa si cha kiungwana na hakikuwa na ulazima wowote.
kwa mtazamo wangu huyu Sowah ni kama amejipalia makaa ya moto kwa kitendo chake hicho. Yanga ni watu wa kisasi. Wazee wanaweza wakamvalia njuga na asiwe na mafanikio yoyote huko Simba
Abaaaabaaaa haya nuna tenaKitendo cha kumposti Hersi na kuandika upumbavu mtupu eti abaabaa! Ni ishara tosha kuwa akili ni za kitoto tena mitoto isiyo na akili.
Aliyefanya hivyo anataka habari gani itrendi?
Je habari ya maneno ya Sowah ikitrendi,wameshafikiri itamuathiri vipi kisaikolojia mchezaji?
Vipi asipofanya vizuri mechi za mwanzo hamuoni kuwa baadhi ya mashabiki oya oya wa Simba wanaweza kuanza kuhusisha na haya mambo mnayoyakuza bila sababu?
Kwani mtu kusema baba kwa mtu waliyefahamiana kabla hajaeafahamu wengine kuna shida?
Ninyi mnaoposti ujinga ujinga na wakati hamna akili ndiyo mnasababisha mashabiki wote wa Simba waonekane hawana akili.
Sio hersi bana acha uongokwenye Instagram page ya Simba wamepost video ya kumtambulisha mchezaji wao mpya Jonathan Sowah aliyekuwa Singida BS. kwenye video hiyo, Sowah anaonekana akichana picha ya Hersi Said (Rais wa Yanga), alafu anabandika picha ya Dewji (Rais wa Simba)