Simba kweli kuna watu ni pimbi sana akili ndogo

Ndio anachomaanisha kwamba hao wazee wakiamua tu uwe mbovu unakuwa kwahiyo hata wakina Kagere wakiwaka hapa bongo hao wazee walikuwa hawaamui tu
Hao wazee wasajiliwe timu ya taifa tubebe WC.
 
Mbona sioni shida? Wameongeza tuu a kuleta utani
Halafu ile sura ni ya hersi??
Si utani tuu jamani mbona mnataka kufa kwa presha? Ni kama mkude alivyo muua Simba siku anatambulishwa Yanga
Baby,mwangaruka!
 
Ndio anachomaanisha kwamba hao wazee wakiamua tu uwe mbovu unakuwa kwahiyo hata wakina Kagere wakiwaka hapa bongo hao wazee walikuwa hawaamui tu
Kiufupi washabiki wa simba washaingia kwenye mtego wa viongozi wao,kwa hii miaka yote 4 wameaminishwa Yanga inawaroga
 
Unakumbuka wakat mkude anatambulishwa yanga alifanya kitendo gani ?je kilikua cha kiungwana?
 
kwenye Instagram page ya Simba wamepost video ya kumtambulisha mchezaji wao mpya Jonathan Sowah aliyekuwa Singida BS. kwenye video hiyo, Sowah anaonekana akichana picha ya Hersi Said (Rais wa Yanga), alafu anabandika picha ya Dewji (Rais wa Simba)
mtoa mada analalamikia kitendo hicho kuwa si cha kiungwana na hakikuwa na ulazima wowote.

kwa mtazamo wangu huyu Sowah ni kama amejipalia makaa ya moto kwa kitendo chake hicho. Yanga ni watu wa kisasi. Wazee wanaweza wakamvalia njuga na asiwe na mafanikio yoyote huko Simba
Kwahiyo wazee wa simba na yanga ni wachawi,number Malele fisito alikuwa sahihi.
 
kwenye Instagram page ya Simba wamepost video ya kumtambulisha mchezaji wao mpya Jonathan Sowah aliyekuwa Singida BS. kwenye video hiyo, Sowah anaonekana akichana picha ya Hersi Said (Rais wa Yanga), alafu anabandika picha ya Dewji (Rais wa Simba)
mtoa mada analalamikia kitendo hicho kuwa si cha kiungwana na hakikuwa na ulazima wowote.

kwa mtazamo wangu huyu Sowah ni kama amejipalia makaa ya moto kwa kitendo chake hicho. Yanga ni watu wa kisasi. Wazee wanaweza wakamvalia njuga na asiwe na mafanikio yoyote huko Simba
Upo sahihi. Kinachofanyika ni kuwapa farfaraja wana simba kwamba baada ya kutofanya vizur na kuwakosa nyota kadhaa sasa suluhisho limepatikana. Kwamba hata sowa anatosha na tumewapoka yanga. Wale mashabiki wa kilungule hapa hawatapiga kelele tena na ukimya utatawala
 
Baada ya mechi .......Atavunjika/paja hatocheza atapona baada ya miezi kadhaa.
Tunza hii comment.
Jamaa kaaga huko kwao . Sijui kama hako ka uchawi kenu ka kimakonde katamfanya kitu.

Na bado kauchawi kenyewe mnamtegemea Muogo mchungu et ndiye apige kimbora.
 
kwenye Instagram page ya Simba wamepost video ya kumtambulisha mchezaji wao mpya Jonathan Sowah aliyekuwa Singida BS. kwenye video hiyo, Sowah anaonekana akichana picha ya Hersi Said (Rais wa Yanga), alafu anabandika picha ya Dewji (Rais wa Simba)
mtoa mada analalamikia kitendo hicho kuwa si cha kiungwana na hakikuwa na ulazima wowote.

kwa mtazamo wangu huyu Sowah ni kama amejipalia makaa ya moto kwa kitendo chake hicho. Yanga ni watu wa kisasi. Wazee wanaweza wakamvalia njuga na asiwe na mafanikio yoyote huko Simba
Sasa kama wazee wa yanga wanayaweza hayo kwann hawachukui ubingwa Afrika
 
Jamaa kaaga huko kwao . Sijui kama hako ka uchawi kenu ka kimakonde katamfanya kitu.

Na bado kauchawi kenyewe mnamtegemea Muogo mchungu et ndiye apige kimbora.
Sijui hata kimakonde ni nini
Anway ngoja nikupuuze.
 
kwenye Instagram page ya Simba wamepost video ya kumtambulisha mchezaji wao mpya Jonathan Sowah aliyekuwa Singida BS. kwenye video hiyo, Sowah anaonekana akichana picha ya Hersi Said (Rais wa Yanga), alafu anabandika picha ya Dewji (Rais wa Simba)
mtoa mada analalamikia kitendo hicho kuwa si cha kiungwana na hakikuwa na ulazima wowote.

kwa mtazamo wangu huyu Sowah ni kama amejipalia makaa ya moto kwa kitendo chake hicho. Yanga ni watu wa kisasi. Wazee wanaweza wakamvalia njuga na asiwe na mafanikio yoyote huko Simba
Umeelewaka boss, mtoa mada hajui kujieleza.
 
Kama ametoa picha ya hersi ilibidi aweke ya ngungu, ukiitoa ya jiesiemu ndio unaweka ya ng'ombe ooh sorry unaweka ya Mooooo
 
Kitendo cha kumposti Hersi na kuandika upumbavu mtupu eti abaabaa! Ni ishara tosha kuwa akili ni za kitoto tena mitoto isiyo na akili.

Aliyefanya hivyo anataka habari gani itrendi?

Je habari ya maneno ya Sowah ikitrendi,wameshafikiri itamuathiri vipi kisaikolojia mchezaji?

Vipi asipofanya vizuri mechi za mwanzo hamuoni kuwa baadhi ya mashabiki oya oya wa Simba wanaweza kuanza kuhusisha na haya mambo mnayoyakuza bila sababu?

Kwani mtu kusema baba kwa mtu waliyefahamiana kabla hajaeafahamu wengine kuna shida?
Ninyi mnaoposti ujinga ujinga na wakati hamna akili ndiyo mnasababisha mashabiki wote wa Simba waonekane hawana akili.

WANAWAKE MTAUANA KWA AJILI YAKE. MNASHINDANA KUANZISHA NYUZI KUMPAMBANIA. MKEWE ATAKUWA NA USHINDANI MKUBWA TOKA KWENU.
 
Back
Top Bottom