Simba kweli kuna watu ni pimbi sana akili ndogo

Ndio anachomaanisha kwamba hao wazee wakiamua tu uwe mbovu unakuwa kwahiyo hata wakina Kagere wakiwaka hapa bongo hao wazee walikuwa hawaamui tu
Hao wazee wasajiliwe timu ya taifa tubebe WC.
 
Mbona sioni shida? Wameongeza tuu a kuleta utani
Halafu ile sura ni ya hersi??
Si utani tuu jamani mbona mnataka kufa kwa presha? Ni kama mkude alivyo muua Simba siku anatambulishwa Yanga
Baby,mwangaruka!
 
Ndio anachomaanisha kwamba hao wazee wakiamua tu uwe mbovu unakuwa kwahiyo hata wakina Kagere wakiwaka hapa bongo hao wazee walikuwa hawaamui tu
Kiufupi washabiki wa simba washaingia kwenye mtego wa viongozi wao,kwa hii miaka yote 4 wameaminishwa Yanga inawaroga
 
Unakumbuka wakat mkude anatambulishwa yanga alifanya kitendo gani ?je kilikua cha kiungwana?
 
Kwahiyo wazee wa simba na yanga ni wachawi,number Malele fisito alikuwa sahihi.
 
Upo sahihi. Kinachofanyika ni kuwapa farfaraja wana simba kwamba baada ya kutofanya vizur na kuwakosa nyota kadhaa sasa suluhisho limepatikana. Kwamba hata sowa anatosha na tumewapoka yanga. Wale mashabiki wa kilungule hapa hawatapiga kelele tena na ukimya utatawala
 
Baada ya mechi .......Atavunjika/paja hatocheza atapona baada ya miezi kadhaa.
Tunza hii comment.
Jamaa kaaga huko kwao . Sijui kama hako ka uchawi kenu ka kimakonde katamfanya kitu.

Na bado kauchawi kenyewe mnamtegemea Muogo mchungu et ndiye apige kimbora.
 
Sasa kama wazee wa yanga wanayaweza hayo kwann hawachukui ubingwa Afrika
 
Jamaa kaaga huko kwao . Sijui kama hako ka uchawi kenu ka kimakonde katamfanya kitu.

Na bado kauchawi kenyewe mnamtegemea Muogo mchungu et ndiye apige kimbora.
Sijui hata kimakonde ni nini
Anway ngoja nikupuuze.
 
Umeelewaka boss, mtoa mada hajui kujieleza.
 
Kama ametoa picha ya hersi ilibidi aweke ya ngungu, ukiitoa ya jiesiemu ndio unaweka ya ng'ombe ooh sorry unaweka ya Mooooo
 


WANAWAKE MTAUANA KWA AJILI YAKE. MNASHINDANA KUANZISHA NYUZI KUMPAMBANIA. MKEWE ATAKUWA NA USHINDANI MKUBWA TOKA KWENU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…