Simba kweli ni kubwa Afrika?

Simba kweli ni kubwa Afrika?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Mwanzo nilitaka kuamini ila ni BIG NO! No Disrespect ila Kyombo is an Avarage player and an average players makes an Avarage team.

Tangu last summer Transfer simba wamedrop standard ya kikosi/wachezaji, kuna level wanajiweka ila sajili zao ni DAH!

Yanga SC naona wanatoboa Mawingu tu. Sajili zao ukiziangalia unaona kabisa zinalenga kuboresha wakati Simba SC wanalenga kujenga Upya zaidi.

Kuna watu walianza kuitilia shaka Yanga kwenye michuano ya Kimataifa kwamba hawatofuka mbali, si ajabu hizo kelele zimeisha hizi sasa baada ya kuona uhalisia wa usajili wa wale wanao jiita wazoefu wa robo fainali.
 
Ni kweli
20220627_022914.jpg
 
Kwahiyo umeamua kuchukua tweet ya watu na kuileta huku?😂

Hakuna aliyewahi kukulazimisha uamini kuwa Simba Sc ni team kubwa, Simba Sc ni team ndogo tu kama jinsi ambavyo unaamini wewe.

Yani mtazamo wa kapuku mmoja kama wewe ndio utoshe kujudge ukubwa au udogo wa Simba Sc?
 
Kweli mnabweka tu ka umbwa, embu tuambie kwa wachezaji wa ndani wangemsajili nani ili uone Simba kubwa.
Mwanzo nilitaka kuamini ila ni BIG NO! No Disrespect ila Kyombo is an Avarage player and an average players makes an Avarage team.

Tangu last summer Transfer simba wamedrop standard ya kikosi/wachezaji, kuna level wanajiweka ila sajili zao ni DAH!

Yanga SC naona wanatoboa Mawingu tu. Sajili zao ukiziangalia unaona kabisa zinalenga kuboresha wakati Simba SC wanalenga kujenga Upya zaidi.

Kuna watu walianza kuitilia shaka Yanga kwenye michuano ya Kimataifa kwamba hawatofuka mbali, si ajabu hizo kelele zimeisha hizi sasa baada ya kuona uhalisia wa usajili wa wale wanao jiita wazoefu wa robo fainali.
 
Mwanzo nilitaka kuamini ila ni BIG NO! No Disrespect ila Kyombo is an Avarage player and an average players makes an Avarage team.

Tangu last summer Transfer simba wamedrop standard ya kikosi/wachezaji, kuna level wanajiweka ila sajili zao ni DAH!

Yanga SC naona wanatoboa Mawingu tu. Sajili zao ukiziangalia unaona kabisa zinalenga kuboresha wakati Simba SC wanalenga kujenga Upya zaidi.

Kuna watu walianza kuitilia shaka Yanga kwenye michuano ya Kimataifa kwamba hawatofuka mbali, si ajabu hizo kelele zimeisha hizi sasa baada ya kuona uhalisia wa usajili wa wale wanao jiita wazoefu wa robo fainali.
Hata Chama na Miquissone wakati wanasajiliwa ilionekana Simba wanapuyanga.
 
Watapinga! Watakutukana! Watakukejeli! Lakini ukweli ndiyo huo. Na hata msimu ujao, utashangaa wanaendeleza zile ngonjera zao za GSM kuhonga timu pinzani ili zifungwe na Yanga.

Cha kushangaza na timu yao ni sehemu ya zile timu zinazofungwa.
 
Kwa kizee kama hiki chenye goli moja carrier yake yote? Just be serious
 
Attachments

  • 20220709_185727.jpg
    20220709_185727.jpg
    13.3 KB · Views: 5
Naona mmemsajili fiston abdulrazak aliechangamka
 
Ha average player ndio wanatupeleka robot fainali Africa ila wale was kwenu mliokuwa mnawabeba airport sijui wamewafikisha wapi
 
Back
Top Bottom