demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Mwanzo nilitaka kuamini ila ni BIG NO! No Disrespect ila Kyombo is an Avarage player and an average players makes an Avarage team.
Tangu last summer Transfer simba wamedrop standard ya kikosi/wachezaji, kuna level wanajiweka ila sajili zao ni DAH!
Yanga SC naona wanatoboa Mawingu tu. Sajili zao ukiziangalia unaona kabisa zinalenga kuboresha wakati Simba SC wanalenga kujenga Upya zaidi.
Kuna watu walianza kuitilia shaka Yanga kwenye michuano ya Kimataifa kwamba hawatofuka mbali, si ajabu hizo kelele zimeisha hizi sasa baada ya kuona uhalisia wa usajili wa wale wanao jiita wazoefu wa robo fainali.