Mwanzo nilitaka kuamini ila ni BIG NO! No Disrespect ila Kyombo is an Avarage player and an average players makes an Avarage team.
Tangu last summer Transfer simba wamedrop standard ya kikosi/wachezaji, kuna level wanajiweka ila sajili zao ni DAH!
Yanga SC naona wanatoboa Mawingu tu. Sajili zao ukiziangalia unaona kabisa zinalenga kuboresha wakati Simba SC wanalenga kujenga Upya zaidi.
Kuna watu walianza kuitilia shaka Yanga kwenye michuano ya Kimataifa kwamba hawatofuka mbali, si ajabu hizo kelele zimeisha hizi sasa baada ya kuona uhalisia wa usajili wa wale wanao jiita wazoefu wa robo fainali.
Hata Chama na Miquissone wakati wanasajiliwa ilionekana Simba wanapuyanga.Mwanzo nilitaka kuamini ila ni BIG NO! No Disrespect ila Kyombo is an Avarage player and an average players makes an Avarage team.
Tangu last summer Transfer simba wamedrop standard ya kikosi/wachezaji, kuna level wanajiweka ila sajili zao ni DAH!
Yanga SC naona wanatoboa Mawingu tu. Sajili zao ukiziangalia unaona kabisa zinalenga kuboresha wakati Simba SC wanalenga kujenga Upya zaidi.
Kuna watu walianza kuitilia shaka Yanga kwenye michuano ya Kimataifa kwamba hawatofuka mbali, si ajabu hizo kelele zimeisha hizi sasa baada ya kuona uhalisia wa usajili wa wale wanao jiita wazoefu wa robo fainali.
Kwa kizee kama hiki chenye goli moja carrier yake yote? Just be seriousWatapinga! Watakutukana! Watakukejeli! Lakini ukweli ndiyo huo. Na hata msimu ujao, utashangaa wanaendeleza zile ngonjera zao za GSM kuhonga timu pinzani ili zifungwe na Yanga.
Cha kushangaza na timu yao ni sehemu ya zile timu zinazofungwa.