Hao hao walitangaza kuwa Simba ilifungwa goli 7 na timu ya daraja la chini kabisa!Mwandishi wa hilo gazeti aliandika kwa uchungu kweli! Atulie anywe maji kwanza
Hii habari imeandikwa na gazeti la watu wa yanga, linaitwa Jangwani. Toleo la jumatatu ya August 6/2018, nililiona kwa abiria niliyekaa nae siti ya jirani aliyekuwa akilisoma. Ila ni katika hali ya kujifariji tu na njaa iliyopo vyurani. Lakini kila wakiamka afadhali ya jana! Mtazidi kupata tabu sana. Lazma mnyooke.Yaani simba wamepoteza pesa kwenda uturuki wameishia kufanya mazoezi Gym kwa kuwa uturuki kulikuwa na mvua kubwa sana na wakabahatika kucheza mechi na timu ya umoja wa madereva taksi wenye asili ya palestina
Kama Gym hivi simba sc hawana Gym kweli si wanayo sasa kupoteza pesa kote ndio mnaenda gym na kucheza na madereva taksi ?
Bora hata mngecheza na vilabu vikubwa kidogo tungewaelewa
View attachment 828120View attachment 828121
hahahahaha hii kaliMikia hamnazo kabisa,wakaishia kulala airport,wametutia aibu sana hawa jamaa!View attachment 828530
hata mwanaspoti waliandika hiiHii habari imeandikwa na gazeti la watu wa yanga, linaitwa Jangwani. Toleo la jumatatu ya August 6/2018, nililiona kwa abiria niliyekaa nae siti ya jirani aliyekuwa akilisoma. Ila ni katika hali ya kujifariji tu na njaa iliyopo vyurani. Lakini kila wakiamka afadhali ya jana! Mtazidi kupata tabu sana. Lazma mnyooke.
Hahahahah dah utani bwana raha sanaWatu wameweka kambi morogoro wanakula magimbi na kunywa maji ya mito lazima kiwaume, endeleeni kukaa vibarazani na kopo la maji mmepanga foleni kwenda chooni
Hivi hizo sandals za plastiki nazo ni jezi ya simba??Yaani simba wamepoteza pesa kwenda uturuki wameishia kufanya mazoezi Gym kwa kuwa uturuki kulikuwa na mvua kubwa sana na wakabahatika kucheza mechi na timu ya umoja wa madereva taksi wenye asili ya palestina
Kama Gym hivi simba sc hawana Gym kweli si wanayo sasa kupoteza pesa kote ndio mnaenda gym na kucheza na madereva taksi ?
Bora hata mngecheza na vilabu vikubwa kidogo tungewaelewa
View attachment 828120View attachment 828121