Yaani simba wamepoteza pesa kwenda uturuki wameishia kufanya mazoezi Gym kwa kuwa uturuki kulikuwa na mvua kubwa sana na wakabahatika kucheza mechi na timu ya umoja wa madereva taksi wenye asili ya palestina
Kama Gym hivi simba sc hawana Gym kweli si wanayo sasa kupoteza pesa kote ndio mnaenda gym na kucheza na madereva taksi ?
Bora hata mngecheza na vilabu vikubwa kidogo tungewaelewa