Simba kwenda na jeneza siku ya Simba day imetulaani

Simba kwenda na jeneza siku ya Simba day imetulaani

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Mwenendo wa Simba sio mzuri kwa hii miaka miwili sasa kutokana na Viongozi kutosimama imara. Pia Viongozi wa Simba kuruhusu Jeneza kuingia Uwanjani Siku ya Simba Day ilikuwa sio nzuri kwa mustakabali wa kiimani za watu.

Simba kutoka hapa tulipo wafanya yafuatayo Msimu Ujao
  1. Kuondoa wachezaji wafuatao ALI SALIMU KWA MKOPO, JIMMYSON, BOCCO, MKUDE, NYONI, AKPAN, OKWA, SAWADOGO, QUATTARA. ONYANGO
  2. KUONGEZA WAFUATAO KIUNGO MKABAJI MZURI ATAKAYWEZA KUCHEZA KAMA KIUNGO MKABAJI NA MCHEZESHAJI, KULETA STRIKER WA MAANA MREFU MWENYE KASI UWEZO WA KUKAA NA MPIRA KAMA MAYELE, WINGA UPANDE WA KUSHOTO, BEKI WA KATI NAFASI YA ONYANGO, NAFASI YA CHAMA MAANA UMRI UMEENDA NA HAENDANI NA MPIRA WA LEO WA KASI, BEKI WA UPANDE WA TSHABALALA NA KIPA WA MAANA. UJUMLA WAKE WACHEZAJI KAMA 5 au 6
  3. VIONGOZI WABADILIKE wasichukulie poa tu kila mechi mfano mechi ya NAmungo ya juzi walichukulia poa, game ya azam. Simba imejiaamini mno ndio maana tumepoteza ubingwa kwa mara nyingine tena.
  4. Viongozi wabadilike sasa turekebishe katiba yetu tupate wasomi pale SIMBA tunaona Ujio wa Eng. Hersi anavyoipambania YANGA tofauti na Viongozi wa SImba kila mechi wanaiona rahisi rahisi tu
Mwisho Simba tuache kufukuza fukuza makocha. Hii nayo inatucost sana sikuona umhm wa kumfukuza DIDIER GOMES alitakiwa asome daraja la CAF ambalo walikuwa analitaka.
 
Ngoja tusubiri pia na maoni ya ndugu zako wengine walioko mafichoni.
 
Back
Top Bottom