Wewe ndio yule mzee wa tiger betriNgapi ngpi ukoo mtani
[emoji23][emoji23][emoji23]Walikuwa wanacheza na marehemu anakamata nafasi ya mwisho ligi daraja la pili
Ngapi bossMK14
Kwa nnMarefa wetu bado ni tatizo Sana.
Dakika ya 84 Mikia wanaongoza moja kwa goli la penati iliyofungwa na Kagere kutokana na penati waliyozawadiwa na mwamuzi....mtupe matokeo basi
Refa amefanya nini?Marefa wetu bado ni tatizo Sana.
Mchezaji kacheza mpira na kifua refa kawapa penati Simba...ujinga mtupu...Kwa nn
Ni kama ile mliyo zawadiwa kwenye mechi ya Simba na Yanga juzi kati hapa au hii ni tofauti?Dakika ya 84 Mikia wanaongoza moja kwa goli la penati iliyofungwa na Kagere kutokana na penati waliyozawadiwa na mwamuzi....
Yaan we mkund unajisahaulisha eenh. Mechi ya yanga vs simba yanga mlipata goli gan bwege snDakika ya 84 Mikia wanaongoza moja kwa goli la penati iliyofungwa na Kagere kutokana na penati waliyozawadiwa na mwamuzi....