Simba leo atapoteza mchezo wake dhidi ya KMC

Simba leo atapoteza mchezo wake dhidi ya KMC

Yaani refa ndiye aliyetoa penalty lakini wachezaji wa Simba ndio waliokua wakiona aibu.
Poleee San bwana mdogo.ulichotamani hakikutokea.hii ni next level.hakunaga kelele mingi km ile mavyura ya lile jangwa la kipekee duniani lenye mafuriko.
 
Simba kabebwa na refa. Mpira wetu una safari ndefu
 
A
Yaan we kilaza. Hilo jina LA wamatopeni km hujui ni la timu gani BASI ni la yanga. Timu isiyoshirik mashindano ya kimataifa PIA pale klabuni kwao JANGWAN mda woote ni tope tu. Ndio mana huitwa pia VYURA fc
Anajitoa ufahamu mkuu😆😆
 
Kisa penat kwa simba? Ktk mechi ya simba vs Yanga ile penat yenu hamkusema kitu. Mijibwa nyie kaz kubwekabweka tu. Alishasemaga yule Kocha wenu
Ni wapi nimetaja penat kwa simba?
Soma mara nyingi nilichokiandika siyo unakurupuka kuonesha namna gani kichwa chako kimejaa mavi
 
Habari!

Wamatopeni nilikuwa napenda kuwapa taarifa mapema lengo ni mjiandae kisaikolojia mapema maana mnaenda kukalia dhidi ya KMC.

Maana kwa mechi zenu hizi za nyuma mbeleko mbeleko leo hakutakuwa na mbeleko kwa vijana wa Kinondoni.

Ni hayo hakuna mengi mechi itaisha Simba 1 - 2 KMC.

Kila la kheri wamatopeni mkachukue kichapo chenu mida ya saa moja kamili ya leo.
Nyani watabaki kuwa nyani tu hata wasimame na kutembea kama binadamu.
FB_IMG_1606142242623.jpg
 
Back
Top Bottom