Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kutokana na siku ya leo, tarehe na muda wa mechi, basi nyota za mchezo zinasema Simba hawatopata hata goli moja, huku nyota zikisema Yanga atapata walau magoli mawili.
Kwa minajili hii, nachelea kusema kwamba mashabiki wa Simba msiende uwanjani kwa wingi, maana hamtoamini kitakachowakumba. Ubingwa chukueni lakini kutufunga msahau.
Halafu hulazimishwi kuamini, ila narudia tena Simba HAPATI GOLI HATA MOJA.